Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,557
- 1,995
Daah, ni jana tu ulisema umetoka facebook umekuja jf. Nkakuona mpo kasi kweli na cacico, ushamdanganya nini? Angalia isikute yeye ndo kakudanganya maana yule naye koboko...oohoo!!
Ndio maana yake.Kwa hiyo nawe wadanganya kwa kuwa wanapenda kudanganywa...
Mwisho wa siku nyote mu wadanganyifu...
Hivi posts alizoanzisha Kirikou zishagonga ngapi? Kila dakika nikizama tu lazma namkuta kashatupia.
Huyu Kirikou Wa Kwanza naona ameingia jf kwa fujo kweli!
Posts zipo kama 3 hivi. So sio nyingi sana!
Matokeo ya pili ya IV nasikia yametoka, vipi umefanikiwa kutusua??
Ndugu Mwanamke ukitaka kumuelewa kila kitu unaweza kuwa chizi kabisa au ukaanza upya kumpenda.
Kwa kutambua hili, ninawaheshimu sana na kuwapenda hawa mama zetu
Ndio Mkuu nimefanikiwa kutusua.
hahahahahaha daa jf dai
jamaa yangu alimdanganya mwanamke atamnunuli toyota vits wakati yeye mwenyewe anatembea kwa mguu ,akapewa penzi akapewa apaka tigo .sasa na mimi nimeanza kudanganya nawapata kweli