Wanawake wanapenda au wanazoea??

Hicho kitanda kinaonesha kuwa anayekilalia na kukitunza lazima awe mnyanyasaji na mbishoo sna. Unaweza ambiwa uvulie nguo barabarani. Ndo maana wanakukimbia kwanza ila wakiona kumbe hata nanii umemtongoza wanashangaa tu
Chumbani haingii mtu mpaka siku akiwa keshanasa na nipo 100% tumepatana.
Sasa aogope kabla hajakubali kakiona wapi hicho kitanda jaman.
 
Kwanza hata hiyo six pack hawezi kuiona mpaka siku akipata nafasi kuingia hapo chumbani.
Ni kanuni tu nilizojiwekea
 
Hicho kitanda kinaonesha kuwa anayekilalia na kukitunza lazima awe mnyanyasaji na mbishoo sna. Unaweza ambiwa uvulie nguo barabarani. Ndo maana wanakukimbia kwanza ila wakiona kumbe hata nanii umemtongoza wanashangaa tu
Chumbani haingii mtu mpaka siku akiwa keshanasa na nipo 100% tumepatana.
Sasa aogope kabla hajakubali kakiona wapi hicho kitanda jaman.
Vaa yako, nena yako, hata lile neno "Karibu kwangu" tu linawashutua
 
Asee!!
lakini umeniongezea kitu pia kujifunza.
Asante
 
Hahaha...nakuelewa kipengele hicho!!
Mbn me nimeomba namba Jana usku tumepiga stori,Leo(3hrs ago) nimemkula.Ni demand tu and available supply at that time...business guys would have understand me.
 
Upo sahihi kabisaaa

Ngoja niendelee kukuzoea taratibu taratibu kabla sjashusha punch lines
 
Wengi wanasumbua tu ili kujua kama kweli unampenda,akishajiridhisha ndio anakuwa wako.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…