Wanawake wanapata wapi ujasiri wa kutongoza?

Kwahiyo = Kaka hebu simama nataka kuongea na wewe,unaitwa nani?unakaa wapi?kilasiku nakuona ukipita huwa moyo wangu unatamani japo nipate muda wakuongea nawe,sasa naweza baadae nikapata muda wa kukaa nawe sahemu tulivu japo tuongee mawili matatu
,duh Lidada hilo linamwaga seraaaa
 
hii mada si ilishazungumzwa humu?
 
Ahhahahah
Hatari lakn salam
 
Mbona kawaida tu hilo. Kwanini afe na maumivu moyoni?

Wewe kama amekutongoza, ukimpenda mkubalie tu.

Mimi ikokea nikampimia akiwa analipa na niko single, hata jibu simcheleweshi.
Asanteh kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…