Wanawake wanapambana sana kupata watoto

Wanawake wanapambana sana kupata watoto

Mida hii nimetoka kukutana na shemeji/wifi yenu angalau kupata moja baridi moja moto; kiufupi ni mchepuko wangu ambaye ameamua kubeba uja uzito wangu hivi karibuni...​
1. Kaa kwenye ndoa kwa uaminifu.
2. Ukishindwa haya, mchepuko.
3. HESHIMA muhimu kwa mke asijue.

Muhimu sana:

Ukiwa na ndoa, na watoto, mke hana shida ya uzazi, usithubutu kuzaa nje haya mambo ya kuzaa nje ya ndo yana tabu nyingi sana.

Unaweza fikiri ni kidume, ila unajiangamiza taratibu mwenyewe, wanao, mke wako na jamii yako nzima.
 
Muhimu ni kuheshimu mke na kumkabidhi uchumi aumiliki; huku nje hakuna madhara zaidi ya kuzaa na kumpa msingi wake wa kujisimamia; nikiwa niko 65+ napenda watoto wangu wote wanizunguke, awe amezaliwa na Ashura, Hamisa, Angel, Nehema n.k​
 
Back
Top Bottom