Wanawake wanapambana sana kupata watoto

Wanawake wanapambana sana kupata watoto

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,624
Reaction score
65,097
Mida hii nimetoka kukutana na shemeji/wifi yenu angalau kupata moja baridi moja moto; kiufupi ni mchepuko wangu ambaye ameamua kubeba ujauzito wangu hivi karibuni.

Katika kupata vinywaji, nikamuwekea mazingira ya yeye kuwa huru, aongee chochote anavyojihisi kuwa nami; ndipo akafunguka ya kuwa, amepambana sana katika kubeba ujauzito, na wakati nilipokuwa nakutana naye alikuwa akitumia maji na mafuta ya manabii, angalau abebe ujauzito, alijihisi amekuwa tasa.

Baada ya mimba kunasa amekuwa na furaha sana, mbaya zaidi amehisi labda watu wanaweza kumfanyia fitina mahusiano yangu na yake yasidumu; nilichofanya nimemfariji, na kumuambia uwepo wangu kwake kunaweza kuwa na sababu, inawezekana Mungu amepanga nizae na wewe kwa mipango maalumu huko baadaye.

Baada ya kumfariji, amekuwa na amani na furaha tele, na mimi nimerudi kwangu kuja kulala.

kweli wanawake wanapambana sana kupata watoto.​
 
Acha wapambane maana wametumia sana P2 na wametoa sana mimba ilimradi wazurure na kukesha na wanaume wakinywa pombe na ufuska...
 
Acha wapambane maana wametumia sana P2 na wametoa sana mimba ilimradi wazurure na kukesha na wanaume wakinywa pombe na ufuska...
Inawezekana kukawa na ukweli, ingawa anasema hajawahi kutumia hata uzazi wa mpango pia
 
Siku nyingine muulize tena vizuri... Usimuamini mwanamke utapotea
Ndio hivyo, hapa najipanga nimpeleke nje ya mji tukae kama siku tatu kwa ajili ya kumlisha mtoto chakula chake, huku tukitafakari na mambo mengine 😀
 
Wanawake kwa ss wanatoa sana mimba za mwezii na nusu miezi2 kwa sababu utoaji mimba kwa ss umerahisishwa kupita maelezo, hakuna haja ya kwenda hospitalini jusy anameza vidonge vingine anapaki kwa bibi vingine chini ya ulimi anavaa pedi analala, asubuhi atajikuta ameingia bleed na ishu inaishia hapo. Unakita bint ana miaka 22 tu ila keshachoropoa mara 10
 
Wanawake kwasasa wanatoa sana mimba za mwezii na nusu miezi2 kwa sababu utoaji mimba kwa ss umerahisishwa kupita maelezo, hakuna haja ya kwenda hospitalini jusy anameza vidonge vingine anapaki kwa bibi vingine chini ya ulimi anavaa pedi analala, asubuhi atajikuta ameingia bleed na ishu inaishia hapo. Unakita bint ana miaka 22 tu ila keshachoropoa mara 10
Hii kweli, kuna mmoja alitoa mapacha wangu kwa staili hiyo, baada ya kugoma akaenda kusafishwa ndipo akanijulisha.
 
Back
Top Bottom