okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,653
Hello guys
Kwa wale wanaume waosha rungu bila shaka mmeshakutana na wadada ambao ukimtongoza ni rahisi kweli kumpata. Baada ya kugegedana, anaku-dump au anakupotezea for no valid reason.
Unabaki kujiuliza what's this? coz kijamii imezoeleka kuwa baada ya ngono mwanaume ndo hum-dump mwanamke or wanaume ndo huwachezea/huwatumia wanawake kingono.
These girls hawakuombi hela wala nini, they are easy to get na wanachotaka toka kwako ni good sex bhaaasi. Hawa wadada wanakuwa hawana malengo ya kuolewa na wewe, kuzaa na wewe au atleast kuwa na mahusiano na wewe kwa muda mrefu.
Mimi nilikutana nao watatu na niliwasiriba haswa. Wazungu wanaita friends with benefits/casual sex
Though in my experience wadada kama hawa ni wachache, lakini they are much more better kuliko wale wanaokupiga vizinga.
Kuna wengine humu mshakutana na wadada kama hawa?