chitanda.nyoka
Senior Member
- May 3, 2012
- 193
- 43
kwani steve nyerere sio mshkaji wako? ndio haswaaaaaa jina lake, ndiye aliyemuuza mboni masimba kwa chif kiumbe! lol, yaani ni bonge la kuwadi sijapata kuona!Neno kuwadi sijalitumia siku nyingi sana......
kwani steve nyerere sio mshkaji wako? ndio haswaaaaaa jina lake, ndiye aliyemuuza mboni masimba kwa chif kiumbe! lol, yaani ni bonge la kuwadi sijapata kuona!
Neno kuwadi sijalitumia siku nyingi sana......
yawezekana ni wewe halafu unadai ni kaka yako, kwanini usiwe muwazi tu..... kuna ule msemo wa kiswahili
mficha maradhi....
Humu jf nimegundua kitu kua wengi wanaoandika kua wanatafuta wachumba mume/mke huwa wanaandika tu kujifurahisha coz nna kaka yangu serious anataka kuoa huwa anaingia jf hila hawezi ku post yy hajajiunga akasoma post kuna mdada anatafuta mume vigezo alivyotaja anavyo vyote akaniomba ni pm huyo dada nimpe email na namba ya cm hadi leo hajajibu,km mkishafanikiwa pia mnaweza kusema nimeshapata mtu cyo kukaa kmya.
Mie nimekumbuka tu hili neno la kiswahili....sijamtaja mtu hapa.....
yawezekana ni wewe halafu unadai ni kaka yako, kwanini usiwe muwazi tu..... kuna ule msemo wa kiswahili
mficha maradhi....