Wanawake wanaoropoka mnatia hasira sana

Wanawake wanaoropoka mnatia hasira sana

Kuna mmoja alikua Dem wangu alinizingua,one-day nilimtandika Kofi Hilo so la nchi hii,alianguka huko,mpaka leo ananiogopa balaa,anasema kumbe wewe mkali eeeh!
Nilikua mpoleeeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ridhisheni wake zenu mione kama watachonga, wewe unampa shoo mbovu kama nyanya masalo unategemea nini? Unamwachia stress lazima ubwatukiwe mambo yakiwa safi hutaona mwanamke anachonga chonga hovyo, fanya uchunguzi uone wanawake wenye midomo huko ndani baba nia sekunde 8 wazamani sasa unategemea nini hapo kama si zarau, asubuhi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWANAMKE MWENYE GUBU KAMA HUYU

Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe

MUME:Amka twende jogging mke wangu?

MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.

MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa?

MUME: Basi yaishe endelea kulala

MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?

MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby

MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?

MUME:Jamani mi sijasema hilo

MKE:Kwa hiyo mie muongo?

MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii

MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.

MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"

MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu

MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom