Dume kujiamini tu dada yangu, mwanaume hauzi sura.
Kaka hawaujui ule msemo 'Mwanamke sura tabia tutarekebishana na Mwanaume pesa sura tutavumilia'.......
Katika kuishi kwako huenda kuna cku ilishawahi ingia call mpya kweny cm yako ikiomba uhusiano wa mapenzi either m/me or m/ke au ktk ambao walishawahi kukuPM ila ilipofika wakati wa kutimiza appointment yenu ya kwenda kuonana kila moja huwa na shauku yakumuona mwenzie akiwa na picha nzur ya figure na face yake lkn mwisho wa yote katika hii appointment ya kijasus mara nyingi wanawake ndo huwa figureless na faceless hv hii ktu kwanin ndo kwmb huwa mnajaribu kumpata bahati yenu ya kumpata hb ukajisifu na kupandsha GPA zenu kupitia mtu? wanawake hucken zaid hapa mawazo yenu yanahucka san
BIG NOooo! nicje ishi maisha ya sungura bure
Tutor B hapo gwala mwanaume kaz co sura ndo mana mwanaume akioa haambiwi hongera ila mwanamke ndo huambiwa hongera kwa kuolewa tena utackia mwanamke pambo la nyumba ila sio mwanaume
Kama ni mpenzi wa taarabu tumrushie wimbo wa Jahazi Modern Taarab unaoitwa KAZI YA KARIMA umeimbwa na dada yake na Mzee Yusuph, hapo atajua maadhira ya dunia.Ila kama hujui kuumba kwanini uumbue?ujue sio vizuri hata unaemdhania sio faceless kesho aweza pata la kumpata mdomo ukahamia kichogoni?
Wanaume banaaa! umkute anaesema hivo nae sura kama muarobaini
sasa unavowatangaza apa unadhani wanasikia raha?
pole kama wewe mwanaume hukuambiwa hongera!
Kama ni mpenzi wa taarabu tumrushie wimbo wa Jahazi Modern Taarab unaoitwa KAZI YA KARIMA umeimbwa na dada yake na Mzee Yusuph, hapo atajua maadhira ya dunia.
Huo wimbo ulishawahi kuusikiliza????????????rudi kwenye mada mbona umeanza kutoka nje ya mada maandko yanasema ajidhaniaye amsimama na aangalie acje akaanguka maana yake anawaonya watu wacjisahau sas wew unafikir uumbaji wa mungu tu bila kufikir pia mengine yanababishwa na sis wenyew kutumia wadawa ya viwandan na namna tunavyojaribu kujiboresha
wanawake faceless sijui ndio wakoje jamani!!!!
eti hawana sura majanga haya. hivi m2 asiye na sura ndo anakuaje
kumbe huu ni wanja wa matangazo? nadhani cjataja jina la mtu tena nimezingatia vigezo vyote vya kikatiba bila kuathiri uhuru wa mwngne soma ibara katiba yetu ya1977 ibara 18na 20 pia hili co tangazo kukusaidia katafute sifa ya tangazo linatakiwa liwe na vitu gan
Kama ni mpenzi wa taarabu tumrushie wimbo wa Jahazi Modern Taarab unaoitwa KAZI YA KARIMA umeimbwa na dada yake na Mzee Yusuph, hapo atajua maadhira ya dunia.
Katika kuishi kwako huenda kuna cku ilishawahi ingia call mpya kweny cm yako ikiomba uhusiano wa mapenzi either m/me or m/ke au ktk ambao walishawahi kukuPM ila ilipofika wakati wa kutimiza appointment yenu ya kwenda kuonana kila moja huwa na shauku yakumuona mwenzie akiwa na picha nzur ya figure na face yake lkn mwisho wa yote katika hii appointment ya kijasus mara nyingi wanawake ndo huwa figureless na faceless hv hii ktu kwanin ndo kwmb huwa mnajaribu kumpata bahati yenu ya kumpata hb ukajisifu na kupandsha GPA zenu kupitia mtu? wanawake hucken zaid hapa mawazo yenu yanahucka san
Tena?.......
hata baada ya kumaliza UE na kurudi russia bado wamekuja walio faceless!
dah!
sa tufanyaje best?
hem ngoja nakuja
wanawake faceless sijui ndio wakoje jamani!!!!