Wanawake wanaongoza kwa faceless

Wanawake wanaongoza kwa faceless

CALMAN

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
190
Reaction score
56
Katika kuishi kwako huenda kuna cku ilishawahi ingia call mpya kweny cm yako ikiomba uhusiano wa mapenzi either m/me or m/ke au ktk ambao walishawahi kukuPM ila ilipofika wakati wa kutimiza appointment yenu ya kwenda kuonana kila moja huwa na shauku yakumuona mwenzie akiwa na picha nzur ya figure na face yake lkn mwisho wa yote katika hii appointment ya kijasus mara nyingi wanawake ndo huwa figureless na faceless hv hii ktu kwanin ndo kwmb huwa mnajaribu kumpata bahati yenu ya kumpata hb ukajisifu na kupandsha GPA zenu kupitia mtu? wanawake hucken zaid hapa mawazo yenu yanahucka san
 
Hilo swali ingelikuwa vyema kama ungelielekeza kwa Mungu Muumbaji maana ndiye aliyeumba kila kitu na kukiona chema mbele zake...
Ukituuliza sisi utakua watuonea tu na kututafutia laana...
 
Enzi zile kabla ya JF/MMU ilinitokea mara 1 nikaweka appointment na binti fulani alikuwa mwanachuo, nilipokuja kutana naye duh! nilikoma .... ila ...
 
inaonekana hili limekuwa janga la MMU; guys poleni kwa kufall in love with avatars.

Huwa najiuliza hivi inakuwaje mtu anaomba uhusiano wa kimapenzi na mtu asiyemfahamu? Kwa nini wasisubiri mpaka waonane ndo waanze hayo mahusiano?
Majanga ya namna hii hayawezi kuisha kamwe kama tabia hii itaendelea!
 
wanapenda, avatar, miandiko baadaye sauti (thru phone) and then majanga yanatokea; inarudi kule ilipoanzia MMU as a thread.
 
Hilo swali ingelikuwa vyema kama ungelielekeza kwa Mungu Muumbaji maana ndiye aliyeumba kila kitu na kukiona chema mbele zake...
Ukituuliza sisi utakua watuonea tu na kututafutia laana...

nilifall kwa yule msuka nywele,hawa vijana sijui wakoje natamani wangekuwa kama wewe na nicas mtei wananiboooooa sana.
 
Kaka hawaujui ule msemo 'Mwanamke sura tabia tutarekebishana na Mwanaume pesa sura tutavumilia'.......
 
wanapenda, avatar, miandiko baadaye sauti (thru phone) and then majanga yanatokea; inarudi kule ilipoanzia MMU as a thread.

Unajua bhana sisi binadamu tunaongozwa na moyo na akili, ukifata matamanio ya moyo unaingia mkenge kirahis coz moyo unatamaa sana thus y avatar, sms na sauti nk vinatosha kuushawishi moyo kupenda bila kuonana. Hapa chamsingi bwana akili iwe mbele na iweze ku-control moyo, Ili kuepusha hayo. Naweza sema wenye tamaa mbaya ndio sana huwatokea haya.
Ebos! Utauziwaje mbuzi kwa mlio?
 
Back
Top Bottom