wanawake wanaolalamika wanaume ni waongo

Kama ipo ipo tu, watu wanaolewa hata hawajawahi fika getoni
 
Ni kazi zetu ndio subiri unioe kwanza nitazifanya ni wajibu wangu
Haaaaa si unaanza na maaribio kwanza af siku hiz hatutaki kuuziwa mbuz kwenye gunia et mkuu unakuta umeoa unajua ni mwanamke kumbe mpk rang kuchaaaa tu hata dekio kushika hajui sa si mzigo huo wa mavi
 
Majaribio ili iweje unifuje weeh kukufanyia makazi mwisho wa siku unaniacha unaoa mwingine kama umepangwa kuwa mume wangu utakuwa tu hata nisipokufulia au kukufanyia usafi

Af kwanza zama hizi watu tunajiolea tuuu bila shida ndo ndoa hiyoooo ww sema ukizingua talaka yako ni titifotati no mikaratas maisha siku hizi iziii simpoooo sana mkuu nyie acheni tuwagegede tuu na kufua mtafua tuuuu
 
To remind you; "utampata wa kufanana nawe!"
 
Nenda vijijini huko bado wako mkuu ukitoa mahali laki 5 basi hamna gharama
 
Watafua hao mnaowapata mkuu mahouse gal wenu
Af kwanza zama hizi watu tunajiolea tuuu bila shida ndo ndoa hiyoooo ww sema ukizingua talaka yako ni titifotati no mikaratas maisha siku hizi iziii simpoooo sana mkuu nyie acheni tuwagegede tuu na kufua mtafua tuuuu
 
Sio shunie mm mkuu mm nitafanya yote hayo nikiingia kwenye ndoa ni wajibu wangu

Sijui lini utanioa nianze kuwa house gal wako hapana aisee huruma hiyo sina
Af ww ulitkiwa uwe haus gal wang mkuu tufanye experiment km vip[emoji3]
 
Sio shunie mm mkuu mm nitafanya yote hayo nikiingia kwenye ndoa ni wajibu wangu

Sijui lini utanioa nianze kuwa house gal wako hapana aisee huruma hiyo sina
Sa si ndio tunahararisha hapa jf mkuu mdogo mdogo mwisho tunatoboa et[emoji3][emoji3][emoji3] af najarib kukupm sipat connection why nataka nikulishe ubuyu wa sato hahahaha
 
Pm situmii mkuu nimeifunga we ni msukuma eenh ubuyu wa sato ndio nn au samaki wa sato

Acha mambo yako sa ndo nn kufunga pm bhana au usumbufu umekua mwingi na hiv umewapa mgongo mashallah..... bas tena sikup ubuyu mkuu nimeghair ngoja nilambe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…