wanawake wanaolalamika wanaume ni waongo

Ndio mana mm sitaki kujichosha unataka kufanyiwa hayo makazi ajili house gal afanye kama umepangiwa utakuwa mume wangu utakuwa tu
 
Mngh!
 

naonaaa unawapozaa pozaa na kuwatia moyo..kwakuwa wewe labda tayari upo kwa ndoa...

Lakini wakumbuke kuwa kuna ushindani upo..
 
naonaaa unawapozaa pozaa na kuwatia moyo..kwakuwa wewe labda tayari upo kwa ndoa...

Lakini wakumbuke kuwa kuna ushindani upo..

Bahati nzuri nipo kwenye ndoa, na sikufika hapa kwa kutumika.

There will always be different kinds of women.

But main groups ni mbili. The submissive ones and the hard headed ones.

I am in the second group honey. Acha watuite career ladies but once you know how to strike the balance mambo ni bien.

Hata kama ni kuwa wanyenyekevu a woman has to know her limits. She should never put her pride and dignity at stake especially for a man who is not even committed to her.

Hata kwao hujulikani.😱😱
 
Yaani maneno yoote hayo kumbe ujumbe ni pesa!!!!
NA BADO!
 
Mwanamke akifanya yote hayo unayohitaji kufua na mengineyo unamwambia atakae muoa atapata raha sana kwa maana ya kuwa wewe si muoaji..

na ndio maana madada wengi wamebadilika.
 
Kufua hatufui na pesa watatoa tu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]lkn si ndio kazi zenu jaman mkuu
 
Leo umenikuna[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…