Wanawake wanaoendesha magari

Wanawake wanaoendesha magari

SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,615
Reaction score
929
Kuna malalamiko mengi yanatoka kwa wananume wenye wake au wapenzi wao ambao wanajua kuendesha magari kwamba wamekuwa kiguu na njia.

Jana nikiwa sehemu fulani, nikiwa na jamaa fulani tukawa tunapiga story mbili tatu hivi. Huyu jamaa akaniambia kuwa mke wake tangu ajue kuendesha gari mke wake hatulii nyumbani week end. Huwa anatafuta visingizio mbalimbali ili kuhalalisha safari zake hizo. huwa anasingizia anakwenda kitchen party, kupeleka watoto hospitali hata kama hawaumwi, au kwenye bithday mbalimbali hata kama anakokwenda hakuna undugu wa karibu au family friend. Siku za kazi wanaenda pamoja kazini na kurudi wote mara chache kwani mwanaume ana uwezo wa kutumia gari la kazini.

Nimeamua kulitoa hapa kwa sababu hata jirani alishanilalamikia kuhusu tabia za mke wake kuwa amekuwa kiguu na njia hasa wikiend wanapokuwa mapumziko kwa visingizio mbalimbali ambavyo vingine vinafanana na hivyo hapo juu.

Kwa upande wangu mimi nipo neutral, nawakarisha kama visa hivi ni vya kweli au uwongo.
 
hahahahaha eeeeh kazi....hilo gari itakuwa kajua kuendesha hivi karibuni kwahiyo mchecheto ule wa mwanzo..akilizoea ataona kawaida tu
 
Ni ulimbukeni wa magari tu hamna lolote! Miye mbona najituliza zangu nyumbani na mume wangu tena wikends kwa raha zetu hao wanayao!! Mweeeeeeh! Ha ha ha!
 
Mnavihoro tu nanyie....

Hilo ni jambo la kweli kabisa maana hata mie linanisumbua sana. afu kuna hiki kitu unakuta mwanamke anaendesha gari kavaa min sketi afu mapaja yote nje ukimwambie ugovi yani kila siku tunagombana sijui nimfanyeje jamani?
 
tangu nimnunulie gari wa kwangu nimepumua mno safari za weekends! yani nilikuwa sipumui, cha muhimu nilimwomba tu anilindie heshima yangu na usalama wa gari

Hilo ni jambo la kweli kabisa maana hata mie linanisumbua sana. afu kuna hiki kitu unakuta mwanamke anaendesha gari kavaa min sketi afu mapaja yote nje ukimwambie ugovi yani kila siku tunagombana sijui nimfanyeje jamani?
Tatizo sio kuwa na magari ila wake zenu ndo matatizo
poleni....
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!!! Nami nimeshuhudia hasa zile ndoa nilizosimamia gari ikishapatikana ni tiketi ya matatizo, mwanaume hashikiki!!!
 
Mwambie rafiki yako asolve matatizo ya ndoa yake.

Asisingizie wanawake wenye magari
 
May be walikuwa maskini na wana ulimbuken
Maskin akipata ------ hulia........
 
Back
Top Bottom