Hahahah ww nimeamini mtu wa mazoezi na mwanaume mzembe unamkunjaHao trainer wana nini cha ziada cha kula mtu? Unakuta trainer mwenyewe ananuka mdomo
Hebu mtuache wanawake, ndo mnafanya wanawake wanakosa uhuru wa kufanya mambo yao sababu kila kitu kinahusishwa na ngono,
Ina maana wanawake hatuna control na miili yetu siyo?
Idiot🚮🚮
Siwez mkunja mwanaume naheshimu sana uwepo wa mwanaume kwenye maisha ilaa kuona kila mwanamke anaeenda gym analiwa na trainer?Hahahah ww nimeamini mtu wa mazoezi na mwanaume mzembe unamkunja
Mwanamke analiwa popote anapoona inamfaa yeye kuliwaHahaha but wapo wanaliwa
Funguka Nyani NgabuFitness IQ ya wabongo ni sifuri kabisa!
Bold thatHao trainer wana nini cha ziada cha kula mtu? Unakuta trainer mwenyewe ananuka mdomo
Hebu mtuache wanawake, ndo mnafanya wanawake wanakosa uhuru wa kufanya mambo yao sababu kila kitu kinahusishwa na ngono,
Ina maana wanawake hatuna control na miili yetu siyo?
Idiot🚮🚮
Umejuaje kama ananuka mdomo alikupiga mate nini!Hao trainer wana nini cha ziada cha kula mtu? Unakuta trainer mwenyewe ananuka mdomo
Hebu mtuache wanawake, ndo mnafanya wanawake wanakosa uhuru wa kufanya mambo yao sababu kila kitu kinahusishwa na ngono,
Ina maana wanawake hatuna control na miili yetu siyo?
Idiot🚮🚮
Wewe kujua mtu ananuka mdomoUmejuaje kama ananuka mdomo alikupiga mate nini!
Au basi