Wanawake wanamambo mengi hebu ona

Akina baba mnajipa shida kwa kutowezesha wake zenu. Mwanamke ukimwezesha utaishi kama mfalme, hautasumbuliwa na mahitaji pasua kichwa ya familia yanakamilishwa vipi??
 
Duhhh!!! Leo best umesifiwa mpka nimeona wivu......Hongera sana Mae chezea ndoa wewe lazima unyooke.... the say siyo LVG wala nini mambo fulani tuuu .....kwa kweli #LVGOUT

Utu uzima pacha. Chezea kuwa mama wa familia wew.
Kweli mamy naheshimu sana wanaume.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.

wooow.. nimekupenda ghafla..
Uliye nae anisamehe bure tu!
 
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.

Maneno mazuri sana&yenye busara!umeshaolewa best?
 
Utakuwa umeachika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…