Wanawake wasiojielewa hao...Yaaani katika vitu ambavyo vinawachanganya wanawake wengi ni pale wapo na jamaa hana pesa wala haongi ila mtaalamu kwenye kukwichi kwichi, wanashindwaga wachague nini kumwacha au kuendelea nae.
Kama nadanganya waje wapinge hapa tuone.
Hapana aisee huwa najua nataka nini kwa mwanaume aisee.. Huna hela unakwichi kwichi nakupiga chini fasta aiseeemiss chagga je ni kweli?