Nakubali aisee, Ni kweliyaaan katika vitu ambavyo vinawachanganya wanawake wengi ni pale wapo na jamaa hana pesa wala haongi ila mtaalamu kwenye kukwichi kwichi, wanashindwaga wachague nini kumwacha au kuendelea nae .
kama nadanganya waje wapingge hapa tuone,
Hahahahayaaan katika vitu ambavyo vinawachanganya wanawake wengi ni pale wapo na jamaa hana pesa wala haongi ila mtaalamu kwenye kukwichi kwichi, wanashindwaga wachague nini kumwacha au kuendelea nae .
kama nadanganya waje wapingge hapa tuone,
Hahahaah hiyo degree yake inapatikana mtaani tu.Huyu kwich kwich ingefaa aende Chuo Kikuu apate degree ya sex,masters au doctorate.
Hili nalo neno!!!Tafuta hela acha porojo lasivyo watoto wakali utaishia kuwaita shemeji tu.
Kwani na hivyo vyuo si vipo mitaani..?!Hahahaah hiyo degree yake inapatikana mtaani tu.
Havipatikani vijiweni lakini.Kwani na hivyo vyuo si vipo mitaani..?!
Hakusema vijiweni, bali mtaaniHavipatikani vijiweni lakini.
Tafuta pesa, husitake kujipa moyo na maisha yako ya ukosaji. Pesa ni kila kitu. Hata vitabu vya dini vinataka mwanaume kumtunza mwanamkeYaaani katika vitu ambavyo vinawachanganya wanawake wengi ni pale wapo na jamaa hana pesa wala haongi ila mtaalamu kwenye kukwichi kwichi, wanashindwaga wachague nini kumwacha au kuendelea nae.
Kama nadanganya waje wapinge hapa tuone.