wafilist ni watu gani?
Samson wa siku hizi sio wa siku za mwanzo, huyo samson alikuwa na mapenzi ya dhati kwa mkewe ndio maana akatoa siri zake na kuamini kuwa ni mwenzake. Samson wa siku hizi siri zake anaweka na kimada au kifuani kwake sasa hapo unategemea mwanamke anakuwa na uwezo gani wa kumdhibiti mumewe ikiwa anaishi nae na huku hajui his inout.
Mungu alimpa mwanaume matamano juu ya mwanamke na kutufanya tuwe dhaifu kwao. dada mrembo akikushikashika kidogo tu wengine tunaadhirika mbele ya kadamnasi. kuna watu wanawatoa wapenzi zao shopping za nguvu na kula lunch kempinski wakati wao wanashindia chipsi dume lol
lol, udhaifu wa mwanamke ni kwamba hawezi kufanya chochote bila mwanaume. udhaifu wa mwanaume ni kwamba hawezi kujizuia mbele ya mwanamkeCha ajabu bible hiyo hiyo anasema aliye dhaifu ni mwanamke.......
wafilist ni watu gani?
Samson wa siku hizi sio wa siku za mwanzo, huyo samson alikuwa na mapenzi ya dhati kwa mkewe ndio maana akatoa siri zake na kuamini kuwa ni mwenzake. Samson wa siku hizi siri zake anaweka na kimada au kifuani kwake sasa hapo unategemea mwanamke anakuwa na uwezo gani wa kumdhibiti mumewe ikiwa anaishi nae na huku hajui his inout.
Kumbuka delila alihangaika sana mpaka kuja kujua siri ya mumewe
Wanawake siku hizi hawajui kubembeleza mmewe mpaka ampe yaliyo sirini
Wanaume na wanawake wa siku hizi wakifuata nyayo za wa kale hawatakuwa tofauti na wa zamani,......
Kaka kazi ya uchungaji umeanza lini..??Back to the topic,usifanye mchezo na kiumbe jike bana ukionyesha udhaifu anaweza hata kukuambia umhonge roho yako,lakini huwa anafanya hayo akishajua udhaifu wako kwa sisi wenye mioyo kama chuma cha pua hata huwa hawajaribu,nilishatishiwa na binti eti nitajiua hapahapa nyumbani kwako usiponitekelezea ombi langu,nikamwambia tena utakuwa umenipunguzia matatizo kweli ebu ngoja nikuletee sumu ya panya, akaniuliza hivi wewe ni mzima kweli..??
Kwakweli mimi simjui delila bado hujanijibu wafilist ni nani?
Kwakweli mimi simjui delila bado hujanijibu wafilist ni nani?
.... Wapo wanawake kila kukicha ni kulalamika tu kwamba mume wangu mume wangu, acha kulalamika tumia uwezo wako wa kuwa mwanamke kumsaidia mume kuwa mume bora katika ndoa kwani Mungu amekupa uwezo wa ajabu ndani yako kiasi kwamba mume yeyote anaweza kumkubali kile mke anasema pale mke akitumia uwezo wake sawa na Mungu alivyompa Adam bustani yake akaikana.Mungu wake likatukanwa.