Wanawake wana mapenzi ya PAKA ukimtongoza mara ya kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wana mapenzi ya PAKA ukimtongoza mara ya kwanza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jay One, Jun 12, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache aende, take her contact, then ukimtongoza now kwa umakini kidogo na use ur brain man, utasikia NO-YES, yaani sitaki nataka, hii inamaana kakubali, now tuliza ball man, do a surprise, mnunulie kitu kizuri kisiwe cha gharama, eg hereni nzuuri, kitenge, shanga, just some urembo, wanawake wanapenda sana kukumbukwa kwa vijizawadi, now vaa Sox, match ya Barca na Man U, imefika, piga simu for appointment ya match, utasikia YES, na atakupa day ya match, then match zinazofuata ww mwanaume ndiye atakufuata, ndivyo ilivyo mwanzo mgumu, timing timing usikosee, so ukimtongoza mwanamke yeyote kwa mara ya kwanza hatakubali, then nataka, sitaki, then nataka, like mapenzi ya paka,Sio mwanaume kanyimwa match tena ndio first time or second time umemtongoza mwanamke unalalamika au unakuja hapa mmu kuomba msaada, common man, simba hafundishwi kuwinda, akisubiri kufundishwa njaa itamuua, Good day
   
 2. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
   
 3. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  inaelekea huna exposure ya kutosha, wanawake wengine unawatongoza the same day gemu inachezwa, hawana sitaki nataka.
  wengine piga ua galagaza, nenda kwa waganga, honga uhongavyo, huwapati ng'o!, hujawahi kuona wanaume wanajiua,ama kuua
  kisa kakataliwa na mwanamke? ina maana mpaka akachukua hatua hizo alikuwa hana plan A au B au C .....?
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  sio wote wako hivyo.mimi kama sikutaki hata useme nini,utajisumbua bure.msitudhalilishe jamani
   
 5. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Ungeongea vizuri, kwakumanisha hayo unasema. Ila niukwel usiofichika wanawake wanamapenz ya paka jike. Unajuwa paka jike sm tm b4 ajafika joto/kupevuka dume lakwanza kumtoke anapata shida sana,lakini cku akiwa na ham atamtafuta yule yule dume wakwanza. That is amazing
   
 6. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Speaking of experience, seven years of practice.
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kuna ambao wako simple,ukiwatongoza mara ya kwanza dalili zinaonyesha amekubali,wengine wakisema NO wanamaanisha kweli.Ila sikubaliani kwamba wote ni sitaki nataka,kuna wanaomaanisha NO ya ukweli na YES ya ukweli.
  Pia ukiambiwa Yes sio kwamba umependwa au kukubaliwa wengine wanatania kwa ajili ya usumbufu wako mwingi,unaambiwa YES ukipiga simu haipokelewi na sms haijibiwi,kesho unashangaa anakatiza mtaani na boyfriend wake halafu ukiwaona unakufa presha eti alikukubali,ndo utajua YES ilikuwa NO,ukiambiwa YES sio unapiga makofi na kufurahi wengine hawamaanishi.
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kweli mkubwa, paka kabisa, i mean nyauu puussiii! Huwa wanatuzuga bt tunakomaa then twawapata!
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Mr P, wengine wanazidi, miaika miwili bado wanakuzingua tu, wanaleta mapenzi ya Adam na Hawa wakati siyo, ni chinese product kabisa!!
   
 10. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Too General Mdau;
  Wapo wanawake wenye msimamo ambao hata ukiwa nani na una nini hupati kitu, akisema No amemaanisha
  Wapo wanawake unaotongoza muda huo na kuondoka nae kwenda kumaliza kazi
  Wapo wa No kumbe na maanisha Yes body language ndo itakujulisha.
  Wapo wanaokupenda hata kama hujamtongoza yaanianakupenda yeye.

  Hao uliowaanisha wewe ni wanafunzi wa Standard Seven, Form one na Form two!
   
 11. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  sio kila mwanaume anauwezo huo, wengine hawatamaniki na hawavutii sio wacheshi, wanatongoza kibabe nk. Hayo mambo uliyoainisha kwenye thread hii tunaweza wachache sana.
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hao wanaojiua au kuua wana matatizo kichwani na kama unawajua itakuwa vema kama ukiwaomba wakatafute proffessional help
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  nadhani hakuna kitu kama kutokuvitia au kutokutamanika kila mtu anauwezo wa kupata mtu.., ikishindikana kabisa kuna alternative ya kutafuta wale materialistic
   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  dah! bora mi huwa nahonga inakua rahic km kumsukuma masele vile.
   
 15. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  we waponze wenzio tu, tupo wenye misimamo yetu hapa hata uje na nn tukisema NO tonamaanisha..... NO
   
 16. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  Pota here we go....Anayekubali on the spot mara ya kwanza huyo ni malaya vibaya mno, au changu or mlupo etc si mwanamke mstarabu na mwenye heshima zake, hapa naongelea mwanamke asiyejiuza, periodKuhusu mwanamume kujiua kisa demu kumkataa huyo ni Punguani hana akili, uchi ni ule ule, location ileile tofauti sura tu why ujitoe uhai? Ni upuuzi tu, Take this, no woman can escape a clever man seduction amkose, ila uchumi kigezo muhimu, walau mwanaume awe juu kidogo itakuwa easy,So kaza buti, use all technics, press hard, harder but softly, okey here we go, YES utasikia, usichelewe mzigo utapoa juu kwa juu, next time utasikia Pota nimekumissssssss...., now but vaa sox carefully
   
 17. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  Tena kama ww Ma'swagga huwaga watamu, maana unakataa, chenga huku, mara kule, siku ukitoa mzigo mnatoaga mfululizo, maana umebanaaa utamu umekujaaaa, ukiachia siku moja utataka mfululizo, then utaanza YES, YES.....Right thereeeee.....ooohh.... take my words
   
 18. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mapenzi nichaguo la kila mtu kwa kuuridhisha moyo wake.
  Na kila mwanamke/mume anamtindo wake wakuyaendesha, "nisumbue sumbue usinikubali haraka" fid Q na mwisho huwa mtamu.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mmh!
  Mmh!
   
 20. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Say something..! Luv proffesional/art/science?
   
Loading...