Wanawake wana madini gani jamani?

Wanawake wana madini gani jamani?

Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso
huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level,
kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana
falsafa, Newton na uwezo wake wote linapokuja
suala la wanawake lazima atoke kapa na Manabii na
busara zao zote walishindwa kuwaelewa
wakaishia kushauri ya kwamba tuishi nao kwa
akili.
 
Habari za muda huu wakuu.

Leo nakuja na swali kwa WOTE (ME na KE)

Jamani ni kwanini mwanaume anapokuwa na mwanamke aidha wanatembea au katika matembezi ya kawaida au kwa namna yoyote ile akiwa na mwanamke yaani mtu (mwanaume) anabadilika na kuwa hivi.

- Mwanaume anakua na sifa kupita kiasi. Yaani ukimkuta kijana ana demu anaweza kukujibu vibaya mpaka utashangaa.
( Hivi ni yule kweli?) Afu Mambo ya kawaida tuu.

Hivi Ni kwanini baadhi ya wanaume wenzangu mnakua hivi aisee

Au hao wanawake wanakuwa wana madini gani katika miili yao mpaka kiasi cha kuwabadilisheni??

A. Wanawake mje mtwambie
B. Wanaume muje munsaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mzee Mwinyi anafahamu. SUKARI.
 
We ni Me au Ke?
 
Kama juzi nimeongozana na dadangu tumbo moja akatokea jamaa moja anamsema mbele yangu kuwa mwanamke huyu ana chura ya maana mbele yangu na mbele ya umati,

Yule kijana nadhani alienda kushonua nyuzi kama si 6 ni nane,

Wote walionisapoti na walionikebehi ila kwa kile kipigo hakuna ambaye angejitoa mwanga tena kuna kupambana na mimi

Kipingo cha kuonya adui

ulikelwa mkuu????

#WAHUNI SIO WATU WAZURI
 
Utakuwa shulen we si bure
Mtu aliezoea mapenz hwez kujibjib watu ovyo kisa mpnz
Au unajishtukia tu mzee
 
Back
Top Bottom