Wanawake wamekuwa sehemu ya hamasa ya maisha kwangu

mi nikishaona maandishi mengi napata usingizi kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ naishia kudeal na heading plus comment
Kusoma shida, essay kuandika utaweza ๐Ÿ˜‚ ?

Kiufupi, anafurahia uwepo wa wanawake, wamekua na influence kubwa kwenye maisha yake, anampenda mama yake, siyo kwa tamaa za kimwili ila anafurahia kuona wanawake wakiwa pamoja, wakicheka au kufanya shughuli zao.

Anatu-appreciate, tunampa utulivu na kumkumbusha uzuri wa maisha ya kibinadamu.


Ndiyo ni mimi. Huwa sina mifano ya watu wengine eti "kuna wengine wapo hivi au kuna jamaa๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ" na mtoa maada naye kanyooka ksjiongelea yeye safi,
๐Ÿ’ฏ safi sana ๐Ÿ™Œ
 
Upwiru utakumaliza kijana cha kukushauri punguza vigezo, kula ya kawaida wakati unaangaza kupata manzi wa ndoto yako.
 
Shortly, Wanawake ni watu muhimu sana maishani...ni kama ni Very Good Advisors hasa nawewe ukiwatreat vizuri na kuwajali

Mama yangu mzazi si Msomi ila anajua mambo mengi sana na ni Mshauri mkubwa sana kwangu kuliko Mzee wangu, hasa kuhusu namna ya kuishi na watu

Kingine wanatuombea dua sana.
 
A simp detector tests positive
 
โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ