WANAWAKE waliong'olewa VING'AMUZI.

Sasa mkuu kama amekatwa antena, sasa kwa theory ya Darwin ya adaptation, si ndio manake kwamba hisia za huyo mtu zitategemea sehemu zingine za mwili zaidi kuliko king'amuzi?
Sikatai kuwa hakuna sehemu nyingine, nakubaliana na wewe kabisa kuwa tissue zinazo husiana na mambo hayo zimetapakaa maeneo mengi tu mfano masikioni n.k but efficient of working haiwezi kuwa sawa! ndio nilicho kisema mimi.
 
Umefanya utafiti kwa mtu mmoja tena ambaye mimi na wewe hatujui amekeketwa kwa namna ipi amepiga kitu ya suna, amekatwa wasitani au wameng'oa yote. Lakini pia yawezekana ni miongoni mwa wale wachache ambao 80% haiko kwenye king'amuzi! Na yawezekana asinge katwa ange pata raha zaidi mwisho kwa kuwa alikatwa akiwa mdogo kuna uwezekano hajui wenye hiyo mambo wanapata raha gani. Na watu wanakosea pale wanapo fikiri aliye katwa hafiki kileleni ila how? ndio changamoto lasivyo asinge zaa. Napenda kuwajuza kukeketwa katika kabila langu kulitokana na kumwaandaa mtu kuolewa na hii ni kumpunguzia mapepe na kumfanya atulie asisukumwe na hisia kuwa malaya na ndio maana makabila yaliyokuwa yanakeketa walio wengi si malaya (nazungumzia wanawake) hii ni kwa sababu hisia zao huongozwa na fikira za mawazo. unajua hisia za kuwa na mtu fulani katika mambo haya hutokana na msukumo wa mawazo au mwili sasa wao mara nyingi ni mawazo yanatumika. binti kabla ya hivyo wakati wa barehe husumbua sana ila kama amefanyiwa hivyo huwa mtulivu! ujue niwambie ukweli utabaki kuwa ukweli zamani babu zetu hawakujua kuwa foolish age ni kipindi cha mpito walitafuta suruhisho bila kuona madhara!!!!!
 
Wewe 80% yako iko wapi?Na king'amuzi chako kina asilimia ngapi?

Haa wee Mshinga, unataka kujua nn ss?
We jua we a differ basiiiii, hayo mengine ya mwandani wangu jamaniiiii
 
je namna gani wale wanawake ambao hawaja keketwa,wote wana enjoy tendo hilo kwa kiasi gani?wangapi kati ya hao hawafiki kileleni?mimi naamini hata kama mwanamke amekeketwa anaweza bado ku enjoy tendo hilo wote mwanaume na mwanamke wakishirikiana na kuwasiliana wakati wa tendo kwa sababu hata kama wameondoa kinembe bado mishipa yake haija ngo'lewa na bado iko sensitive.....
 
Mkuu umesahau kuwaita Wambulu, ni wazuri hao balaa lakini kisimbusi ukikikuta nakupa zawadi.

Utagonag weeeeee mpka utaona na huruma labda unaumiza mtu, ukitoa tu anadai muendelee tena. Kesho yake tean wakati kidume umechoka hoi unasikia simu inaita ukipokea utasikia hello my sweet, sasa leo inakuwaje?

Mbona majanga...
 
Waalaniwe mangariba wote wanaotoa visimbuzi, wanaume iko siku tutaandamana ili mjue hamtutendei haki na ili mzielewe hasira zetu kwenu.
 
Waalaniwe mangariba wote wanaotoa visimbuzi, wanaume iko siku tutaandamana ili mjue hamtutendei haki na ili mzielewe hasira zetu kwenu.

Wewe umesema jambo la msingi... Tuandame. Kuna watoto saaaafi lakini wameng'olewa
 
Hapa ukweli bcoz nishakuwa na msingida wa hivo. Ni ngumu sana kumridhisha mtu wa namna hii. Pia hulalamika maumivu kama una huruma unamuacha t. Pia mpaka akubali msex ipo kazi usishangae kwa mwaka mara mbili tu na akija anaweza asikupe coz hahisi labda umchezee saaana. Nawachukia Saana mangariba na wazazi woote hasa kina mama mnaofanya huu usenge wa kukeketa.
 

Kwa yule asokeketwa hizo ni mistake za mwanaume katika kumuandaa na kumtengeneza. Mwanamke hafiki kilele through sex intercoz lazima viwepo n vichocheo. Pia kwa wale wa king'amuzi zaidi kama man yuko na problem ya premature ejaculation hiyo women orgasm itasikiliziwa kwa bomba..
 
Wewe umesema jambo la msingi... Tuandame. Kuna watoto saaaafi lakini wameng'olewa
Mkuu unaonaje tuatafute saini za wanaume 70 na wanawake 70, zikitimia tukaombe kibali cha Maandamano kwa Alhaji Kova.
 
Uko sawa kabisa.
 

Teh teh teh, umenfurahisha sana kwa kauli ya "kung'olewa ving'amuzi" teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…