WANAWAKE waliong'olewa VING'AMUZI.

MziziMkavu, SnowBall, snowhite Gefu hebu njooni mkate kabisa huu mzizi wa fitina. Jana nilikuwa nasuluhisha kesi jamaa anataka kumwacha mke kisa amekeketwa, Jamii imevamiwa na tafiti za Jf sio mchezo!
 
Last edited by a moderator:
Kitakuwa cha kulipia. dstv au star times

Mzima wewe,? Mbona leo hujaniamkia?

vile vya kulipia mwisho wa mwezi!!!!!

shikamoo babu Asprin,tuendelee kusalimiana hapa hapa or you suggest something else
 
Last edited by a moderator:
Wachagga, wanyaturu, maraline (watu wa mara), wamasai, na watu gani tena ndio wanaong'oa handles/sticks za gear?
 
Hapa kuna nini kinaendelea...
 
Mkuu si kila ukweli ni kweli ktk ktk mazingira yote!!!!!!!
Ivi yule atakaedondoshewa vitojo vitatu vya asali ndani ya mdomo bila kugusa ulimi (ktk koromeo) na yule atakaedondoshewa kitojo ki1 cha asali kiganjani, Nani aliefaidi asali hapa?
....
Mimi naamini KI.MBE.NE ndio mpango mzima ktk jigjigy, hayo mengine mbwebwe tu!!!!

 
Safari hii hujatendwa? Naona umekuja kivingine. Karibu
 
Asikudanganye mtu raha iko pale pale, mimi nakumbuka miaka ya 1997/98 nikiishi pande za Kola Hill, Morogoro enzi hizo, niliwahi kuwa na demu wa kigogo ambaye hakuwa na king'amuzi, lakini alikuwa anafika kilele kama kawaida. Tena wakati mwingine alikuwa aniita mwenyewe na nikifika namkuta keshalowa kitumbua tayari kwa tendo.
 
we ushaambiwa bila king'amuzi huwezi pata channeli sasa unahangaika kutafuta nini wakati washakata network... Mwanamke aliyekatwa king'amuzi sio siri hana raha ya kugegedana
 
:smile-big:JF kwa kufurahisha ni kiboko!!! VING'AMUZI??? Asante kwa kunipatia msamiati staha mpya!!!
 
A NOTE TO SIMPLICITY:
Refer this sciencitifical say by the father of science
""ANYTHING IN SCIENCE CAN BE PROVED OR DISPROVED""by sir ISAAC NEWTON.
"chochote katika sayansi kinaweza kuthibitishwa kuwa ni sahihi ama si sahihi"mfano:awali walithibitisha PLUTO ni sayari na baadae wakathibitisha PLUTO si sayari.
Julius Mahinya kasema 80% ya hisia zipo kwenye king'amuzi.
UMESEMEA TENA MAELEZO mengine hapa ambayo naamini unaona yanapingana.
MIMI SIWEZI KUTOA CONCLUSION.
lakini nachojua maeneo mengi tofauti na papuchi yanatumika kusaidia kumwandaa mrembo na akiwa tayari kwa mechi basi kazi yote hubaki kwenye papuchi na king'amuzi ndo kinahusika kweli kweli,wakati huo kiss and peting zime-cease.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…