Wanawake waliokuzid umri wanafaa kwa ndoa

Wanawake waliokuzid umri wanafaa kwa ndoa

Nina miaka 26 na nimeoa mwanamke wa miaka 36 na ndoa yangu haina tatizo naenjoy kinoma.Ningeoa 18 to 25 ningeisoma namba.


It's depends na makubaliano maana Kuna ndoa za aina mbalimbali Kuna ambazo zinafanya vizuri vilevile ndoa similar zina changamoto. It's guarantee ndoa ni makubaliano, maelewano na mshikamano.
 
Ngoja tu ninyamaze ila hao mabibi nanlio zao zinakuwa zimechakazwa sana aiseee Yani lastiki zao zinakuwa zimekufa kabisa Kuna muda upo nae mnafanya unahisi kama vile labda ipo nje haijaingia ndani ila ndo hivyo wanakuwaga mafundi sana aiseeee
 
Back
Top Bottom