iyo ya appointment inakera sana mtu anakuletea timu ya basketball kwenye appointment, mademu wengine bwana-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.
Kaizer mi nahisi hayo mengi yanatokana na mdada mwenyewe....yan kuna wengine wakiwa kwenye shughuli wanakuwa macho juujuu km tochi...unadhani atafika kileleni?
Kuna wadada wana pozi bhana yan akiguswa tu kalegea lol
Umri haumati sana.
Tatizo la 20s wanatakaga kujifanya mafundi lol wanaishia kumridhisha mwanaume tu (Na ndio lengo lao)
Ila kwa 30s wao lengo lao huwa ni mautamu tu.
iyo ya appointment inakera sana mtu anakuletea timu ya basketball kwenye appointment, mademu wengine bwana
na wao walipitia huku 20's ko nasi tukikua tutakuwa na character hizo hapo juu..
jaman ila mi nilikuwa nahis naenjoy sex ile mbaya kumbe kuna miaka nikifika ntafurahia
zaidi.I cant wait for my 30's
Kwa kuongezea binamu, ni wawazi, wana-keep appointments, wasafi na pia hawa-deki deki kijinga, na zaidi hata gharama muwapo kwenye mtoko wanaweza kuchangia! Wanawakubali sana kwa ujumla!
Mpwa Fidel80 apo tupo ukurasa mmoja....hasa apo.lwen uvumilivu panahusu sana.
Nimegundua kwa nini wanaume wengi hupendi kutafuna wake za watu kwa kupenda miteremko ya aina hii
iyo ya appointment inakera sana mtu anakuletea timu ya basketball kwenye appointment, mademu wengine bwana
tunafaidi sana sisi wa 30's wengi wetu tunatulia na wenza wetu na kwa asilimia kubwa for the rest of our life tunafia kwenye LIBOLO hili hilo limoja hatutafuti nyingine kama uko stress free zone .
hakuna lolote huku ...yale yale..eti hakuna mizinga ? nani kasema....mizinga hadi kiamana wao walipitia huku 20's ko nasi tukikua tutakuwa na character hizo hapo juu..
jaman ila mi nilikuwa nahis naenjoy sex ile mbaya kumbe kuna miaka nikifika ntafurahia
zaidi.I cant wait for my 30's
Wanajamvi habarini za weekend?
Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi:
1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi
2.ni rahisi kufika kileleni maana wako a bit free..wameshajiestablish kimaisha nk
3. Kutokana na 2 apo juu wanafurahia zaidi tendo la ndoa
4.ni waelewa sana..sio nagging, kifupi wamekua.
5.ni wasafi, wanavutia sexually.
Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.
Ni mtazamo wangu tu.labda kwa vile mimi nipo kwen late 40s😉
Sijui wengine mnaonaje....ruksa kuongeza.
Cc: Mtambuzi Asprin The Boss MziziMkavu KakaKiiza Baba V Sandeni Judgement Erickb52 Arushaone Filipo Nicas Mtei Mtoto halali na hela Bishanga
Bcc: gfsonwin cacico lara 1 AshaDii amu snowhite Madame B ladyfurahia charminglady KOKUTONA Passion Lady Zahra White Ray b BADILI TABIA Kongosho King'asti Heaven on earth sweetlady mimisa Graca marejesho Arabela mandenyi The secretary
Ukiniuliza hivyo ina maana hata Kaizer nae kaonja!kwahiyo erickb25 umeshaonja wote wa 20's na 30's maana kama una experience ya both sides...,
Nimegundua kwa nini wanaume wengi hupendi kutafuna wake za watu kwa kupenda miteremko ya aina hii
Kaizer mi nahisi hayo mengi yanatokana na mdada mwenyewe....yan kuna wengine wakiwa kwenye shughuli wanakuwa macho juujuu km tochi...unadhani atafika kileleni?
Kuna wadada wana pozi bhana yan akiguswa tu kalegea lol
Umri haumati sana.
Tatizo la 20s wanatakaga kujifanya mafundi lol wanaishia kumridhisha mwanaume tu (Na ndio lengo lao)
Ila kwa 30s wao lengo lao huwa ni mautamu tu.
siyo mteremko ila watu wanataka uhalisia wa maisha , huwezi kukaa na mtu kila mnapokutana mara njaa inauma mara saloon, bora awe anafanya hivyo kwako tu, utakuta amewapanga msururu, wote mnafanya kazi ya kumchangia yeye tu , ukifikiria ana mchango gani kwenye maisha yako jibu ni hapana, siku hizi hachunwi mtuNimegundua kwa nini wanaume wengi hupendi kutafuna wake za watu kwa kupenda miteremko ya aina hii