Wanawake walimu, ndio chaguo sahihi ( first ladies reference)

Ni kwa sababu wnawake walikuwa hawapenyi kwenye kada zingine.......af Magufuli ye mwenyewe mwalimu ulitegemea aoe engineer?

Hahahahaha..... It's real good morning!!
 
Habari wadau,

Hivi ni kweli walimu wanawake ndio watu sahihi kwenye ndoa tukiangalia mifano ya ma rais wengi africa wake zao ( first ladies ni former teachers).

Mfano Sitti Mwinyi, Salma Kikwete, na sasa Janet Magufuli, na hata nchi jirani wake wa maraisi wengi ni former teacher kama mke wa Kagame, etc?

Hata mgombea aliyekatwa na kusababisha masononeko inasemekana mke wake ni mwalimu yaelekea walimu hawawapi stress wanaume zao na kuwafanya wafikie malengo yao?

Hata watu wengi waliofanikiwa kibiashara, kiuchumi, wake zao walimu

Nani kakwambia kuwa huyo ni First Lady wakati uchaguzi bado haujafanyika?! Wabongo bwana
 
Mfano Sitti Mwinyi, Salma Kikwete, na sasa Janet Magufuli, na hata nchi jirani wake wa maraisi wengi ni former teacher kama mke wa Kagame, etc?
Yuko wapi huyu maana sijamsikia siku nyingi, au yeye hausiki na ujumbe wa halmashauru za chama na hata ubunge!?

Habari wadau,

Hivi ni kweli walimu wanawake ndio watu sahihi kwenye ndoa tukiangalia mifano ya ma rais wengi africa wake zao ( first ladies ni former teachers).

Mfano Sitti Mwinyi, Salma Kikwete, na sasa Janet Magufuli, na hata nchi jirani wake wa maraisi wengi ni former teacher kama mke wa Kagame, etc?

Hata mgombea aliyekatwa na kusababisha masononeko inasemekana mke wake ni mwalimu yaelekea walimu hawawapi stress wanaume zao na kuwafanya wafikie malengo yao?

Hata watu wengi waliofanikiwa kibiashara, kiuchumi, wake zao walimu

Mbona umesahau mama Maria Nyerere nae alikua mwalimu wa shule ya msingi Nyegina Musoma.
 
Habari wadau,

Hivi ni kweli walimu wanawake ndio watu sahihi kwenye ndoa tukiangalia mifano ya ma rais wengi africa wake zao ( first ladies ni former teachers).

Mfano Sitti Mwinyi, Salma Kikwete, na sasa Janet Magufuli, na hata nchi jirani wake wa maraisi wengi ni former teacher kama mke wa Kagame, etc?

Hata mgombea aliyekatwa na kusababisha masononeko inasemekana mke wake ni mwalimu yaelekea walimu hawawapi stress wanaume zao na kuwafanya wafikie malengo yao?

Hata watu wengi waliofanikiwa kibiashara, kiuchumi, wake zao walimu

utamu wa Ngoma uingie ucheze
 
Kwa upande fulan nakubaliana walimu ni wake sahihi......coz saa 9 tu yupo nyumban, halafu hana shift ya usiku km ma'nurses !
...Naunga mkono hoja, ngoja niingie mawindon na mim kusaka mwalimu 😀
 
Aaaaaaaaha! Labda hao wazamani.
Japo kuna kamsemo kuwa Real men marry Teachers.
 
Twende ualimu shost, maana kila siku humu naona mada ni walimu tu, sie wengine majobless sijui ndio tuko kundi gani!!!

sijajuta kuoa mwalimu wangu cheupe raha sana mwaka wa saba bado nakaona katoto japo namzidi three years tu,mm

ratiba zao simpo sana ,muda wa kuhudumia familia wanao, wavumilivu wanalidhinika na maisha yao, wanaogopa skendo,

kunakitu kinaitwa haiba ndio kinga yao tangu vyuoni
 
Dunia ya leo wanawake wanakimbia huo ualimu.
 
Msisahau walimu wakike hawazeeki ovyo. Fuatilia hii fact urudi hapa.

Pia, ni amazing fact kuwa walimu huwa wake bora kwa familia na majirani na nyumba za ibada.

Walimu wanajua kumtunza mume asidate na stress za maisha maana wao ni stress absorbers.

Nampenda mke wangu cheusi mwalimu
 
Ukita kuwehuka oa askari......yaani utajuta full kuimba kale kawimbo..wazee wazamani.......halafu kanaishia.... siri ya ndani

moyo wangu mimi x 2
 
Walimu Ndo Wafanyakazi Wenye Mda Wa Kulea Familia.Na Pia Walimu Ndo Watu Walio Kila Eneo Na Ukiwatomba Vizuri Utasikia Very Good Keep It Up.
 
Back
Top Bottom