Wanawake walimu, ndio chaguo sahihi ( first ladies reference)

Wanawake walimu, ndio chaguo sahihi ( first ladies reference)

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,337
Habari wadau,

Hivi ni kweli walimu wanawake ndio watu sahihi kwenye ndoa tukiangalia mifano ya ma rais wengi africa wake zao ( first ladies ni former teachers).

Mfano Sitti Mwinyi, Salma Kikwete, na sasa Janet Magufuli, na hata nchi jirani wake wa maraisi wengi ni former teacher kama mke wa Kagame, etc?

Hata mgombea aliyekatwa na kusababisha masononeko inasemekana mke wake ni mwalimu yaelekea walimu hawawapi stress wanaume zao na kuwafanya wafikie malengo yao?

Hata watu wengi waliofanikiwa kibiashara, kiuchumi, wake zao walimu
 
Ni kwa sababu wnawake walikuwa hawapenyi kwenye kada zingine.......af Magufuli ye mwenyewe mwalimu ulitegemea aoe engineer?
 
Ni kwa sababu wnawake walikuwa hawapenyi kwenye kada zingine.......af Magufuli ye mwenyewe mwalimu ulitegemea aoe engineer?

Magufuli si mwalimu.

Alikuwa mwalimu.

Hizo ni kauli 2 zenye ufanano na utofauti.
 
Wakiwa kwenye sex utasikia... '' bado kimoja''!..

Maisha ni murua ukioa mwalimu...
 
Naamin 100% mama yangu ni mwalim pia - nitaowa mwalim pia usaili bado unaendelea 🙂
 
most teachers are better wives. wako real sana. hawa wa you know this im busy wanaishiaga kuvaa vimini na acting wakishtuka wamemegwa ovyo ovyo wamechoka wameshindwa kurise watoto na wengi ndo haya masugar mumy ya mjini. Na unakuta waume zao wakishakuwa stressed na kujifia long time
 
Ila kiukweli wanawake wa zamani ajira zao kubwa zilikua ualimu...au umama wa nyumbani...
 
Oa mtu unayempenda msiishi kwa Ku cremisha tu. Unaweza kuoa mwalimu asiyekupenda ikawa majanga

Twende ualimu shost, maana kila siku humu naona mada ni walimu tu, sie wengine majobless sijui ndio tuko kundi gani!!!
 
Back
Top Bottom