kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 510
Ni kweli mkuu, ni kama nachunwa bila kujielewa!Itabidi ukae kimya kidogo kama njia ya kumuonyesha kuwa hukupendezwa na hyo tabia yake,na epuka majibizano ili asije ku take advantage ukawa wewe ndio umekosea,
Mkuu, sasa naona imefikia mahali heshima inapungua kabisa. Arudishe kwanza nilizompa, ndo namkopesha bila hivo hapati kitu.Hawa viumbe kuwaelewa ni ngumu sana.
Angalia asije kununa mazimaha ha ha pole sana na mm hii nitamfanyia kaka angu mpenzi ili nimnunie
Labda nisaidie kwa hapo shunie, nakosea?ha ha ha pole sana na mm hii nitamfanyia kaka angu mpenzi ili nimnunie
Ha ha ha ha,Hawa viumbe ukitaka kuwajua inatakiwa huwe na akili ya ziada. Akili yao ya kuvukia barabara
Acha kuwaendekeza, huwa wanapenda pesa kama mfuko. Mimi huwa naomba game mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Akinipa poa, ntamlipa. Akichomoa, asepe na wala tusikaribiane.Wana jamii
Kuna mwanamke mmoja nimezoeana nae sana kwa issue za kiofisi, lakini huwa tunapiga story mbalimbali kama dada yangu ambaye namuhushimu sana na pia kama mteja na yeye mara nyingi huwa anakuja ofisini kwangu kwa ajili ya huduma mbalimbali. Kwa kweli tumezoeana sana
Wakati mwingine anakuja, ananiambia nina shida sina pesa ya ada kwa ajili ya mtoto, huwa nampa. Mara ooo sina pesa ya matumizi nampa. Mara nikopeshe pesa kwa ajili ya kupeleka VICOBA, huwa nampa na wala harudishi.
Sasa juzi kaniomba nimkopeshe pesa, na anadai kuwa atanipa baada ya mwezi mmoja, mi nikamwambi kwa sasa pesa sina, ningekuwa nayo ningekupa. Nimefanya hivo kwa sababu najua nikimpa tu ndo imekwenda hiyo, hairudi tena.
Tulipoonana, naona mtu kanuna wala hataki kunisalimu kabisa. Nkajiuliza ina maana tatizo ni pesa? Hapo sina mahusiano naye kabisa ya kimapenzi, ingekuwa hivo si anaweza kunitoa roho!
Hivi wanawake hiyo ni tabia yenu mpaka mnajisahahu kana kwamba imefikia mahala rafiki tu kiume unamfanya kama mpenzi wako jamani au mmeo?
ShindwaHawa viumbe ukitaka kuwajua inatakiwa huwe na akili ya ziada. Akili yao ya kuvukia barabara
Mpotezee tu hana maana kabisa huyoWana jamii
Kuna mwanamke mmoja nimezoeana nae sana kwa issue za kiofisi, lakini huwa tunapiga story mbalimbali kama dada yangu ambaye namuhushimu sana na pia kama mteja na yeye mara nyingi huwa anakuja ofisini kwangu kwa ajili ya huduma mbalimbali. Kwa kweli tumezoeana sana
Wakati mwingine anakuja, ananiambia nina shida sina pesa ya ada kwa ajili ya mtoto, huwa nampa. Mara ooo sina pesa ya matumizi nampa. Mara nikopeshe pesa kwa ajili ya kupeleka VICOBA, huwa nampa na wala harudishi.
Sasa juzi kaniomba nimkopeshe pesa, na anadai kuwa atanipa baada ya mwezi mmoja, mi nikamwambi kwa sasa pesa sina, ningekuwa nayo ningekupa. Nimefanya hivo kwa sababu najua nikimpa tu ndo imekwenda hiyo, hairudi tena.
Tulipoonana, naona mtu kanuna wala hataki kunisalimu kabisa. Nkajiuliza ina maana tatizo ni pesa? Hapo sina mahusiano naye kabisa ya kimapenzi, ingekuwa hivo si anaweza kunitoa roho!
Hivi wanawake hiyo ni tabia yenu mpaka mnajisahahu kana kwamba imefikia mahala rafiki tu kiume unamfanya kama mpenzi wako jamani au mmeo?
Ha ha ha Chiwaso usiwafanyie hivo, hawa ni viumbe dhaifu inatakiwa kuishi nao kwa akiliAcha kuwaendekeza, huwa wanapenda pesa kama mfuko. Mimi huwa naomba game mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Akinipa poa, ntamlipa. Akichomoa, asepe na wala tusikaribiane.
Hawa viumbe kuwaelewa ni ngumu sana.
viumbe gani?Hawa viumbe ukitaka kuwajua inatakiwa huwe na akili ya ziada. Akili yao ya kuvukia barabara
Itabidi alipe kwanza alizopewa, ndo apewe bila hivo atakuwa amenipunguzia matatizoMpotezee tu hana maana kabisa huyo