Wanawake wajua sana kutongoza

Wanawake kwa kutongoza hawajambo,hata ukimpa kaz mwanamke akutongozee mwanamke mwenzake,hachukui raudi kamleta geto wakati ingeweza kumchukua mwanaume hata raudi 30 kumteta geto.
Moyo wa mwanamke una mapenzi zaidi kuliko wa mwanaume hivyo si ajabu mwanamke kutongoza..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…