lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
Unalijua hilo wajua zaidi hutongozaje ni kwa kutumia body language. Hapa wanaume wengi hawachomoi.
Tumieni machoMbona body language yenyewe iko kwenye minuko tu ss sie tuliopigwa pasi sijuhi tunatumia nini? teh te te...
Duuuh mbavu zangu Tyta..umeniletea majanga nazitafuta ziliko na tusimu twangu twa tochi,Nimechekaje kumuona mekaniko injinia mtarajiwa akiathirika na manzi wa mortgage!
Au ni ww umetupiamo laivu?Kama deka za chuo vle!
Inategemea na mwanaume,kama domo zege inabidi tu ujieleze