Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,719
- 215,829
Ushahidi wa nguvu unatoka kwa wale ambao wanatumia paracetamol kutibu maumivu ya ugonjwa zaidi ya mmoja. Mtoto anapoanza kuhusishwa na paracetamol angali akiwa tumboni anauwezo mkubwa wa kuzaliwa akiwa na matatizo ya pumu.
Katika utafit uliofanywa nchini Norway na mji wa Bristol nchini Uingereza ilihusisha wazazi wananaotumia paracetamol wakiwa wajawazito na ambao hawakutumia dawa hiyo, jumla ya watoto 114,500 waliozaliwa na pumu katika kipindi hicho wazazi wao walitumia dawa hiyo.
Wazazi wengine walitumia paracetamol kutuliza homa kipindi cha ujauzito na pia kutuliza maumivu.
Kwa wale ambao watapenda kusoma mada hii kwa urefu waende 'Norwegian Mother and Child Cohort Study' Internatioanl Jornal of Epidemiology dol:10.1093/ije/dyv366