Wanawake wajawazito wanaotumia paracetamol wanauwezo mkubwa wa kujifunga mtoto anaesumbuliwa na pumu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
Ushahidi wa nguvu unatoka kwa wale ambao wanatumia paracetamol kutibu maumivu ya ugonjwa zaidi ya mmoja. Mtoto anapoanza kuhusishwa na paracetamol angali akiwa tumboni anauwezo mkubwa wa kuzaliwa akiwa na matatizo ya pumu.

Katika utafit uliofanywa nchini Norway na mji wa Bristol nchini Uingereza ilihusisha wazazi wananaotumia paracetamol wakiwa wajawazito na ambao hawakutumia dawa hiyo, jumla ya watoto 114,500 waliozaliwa na pumu katika kipindi hicho wazazi wao walitumia dawa hiyo.
Wazazi wengine walitumia paracetamol kutuliza homa kipindi cha ujauzito na pia kutuliza maumivu.
Kwa wale ambao watapenda kusoma mada hii kwa urefu waende 'Norwegian Mother and Child Cohort Study' Internatioanl Jornal of Epidemiology dol:10.1093/ije/dyv366
 
So vyema mjamzito kunywa kunywa madawa hovuo...hata hiyo paracetamol inayoruhusiwa.

Wakati mwingine ni vyema kutafuta chanzo cha kuumwa na kudili nacho.

Kwa uzoefu niliopitia ukiacha kuunwa kichwa kwa maradhi ambatano....mara nyingi njaa....baadhi ya vyakuka haswa vyenye gluten au sukari huleta headache kwa baadhi ya wajawazito....hivyo wakiviacha itasaidia kuepukana na maparacetamol
 
Uko sahihi kabisa, kuumwa na kichwa mara nyingi ni dalili ya upungufu/ uongezeko wa kitu mwilini (equilibrium), inawezekana ikawa ni upungufu wa chakula mwilini, upungufu wa damu, upungufu wa maji mwiline. Pia inawezekana ikawa ongezeko la damu etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom