Usiconclude kuwa wanawake wote ni dhaifu. Kama unabisha basi we endelea tu kusafiri afu uwe unapapasa hovyo wamama wa watu humo kwenye gari, siku utabugi kumpapasa mmama afu ukute sasa ni lijimama la kinyakyusa litakuhekenya makonde humo kwenye gari hadi utasahau unapoelekea. Halafu nahisi pia kwenye maongezi yenu ulishaona huyo mama ana udhaifu fulani, ndio maana na wewe ukapata courage ya kumpapasa.
All in all usirudie tena, wengine wanakutega uwapapase humo kumbe wana mambo yao wanayoyajua wenyewe, Itakucost
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums