KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Wabaya nina maana kwa sura na umbo yaani muonekano kwa ujumla
Wanajiamini...siunajua kujiamini ndio mpango mzima...Hivi kwa nini wanawake au wasichana wabaya huwa wanaringa kuliko wanawake au wasichana wazuri?
Sasa unakuwa mbaya unajiamini nini, wazuri ndio huwa wanajiamini
Hivi kwa nini wanawake au wasichana wabaya huwa wanaringa kuliko wanawake au wasichana wazuri?
Sasa nikiwa mbaya ndo nikunyenyekee
Mkuu kuna methali inasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, i think u got me!
Wanaringa kwenye masuala ya mahusiano yaani mapozi kibao unampigia simu anajishauri kupokea au asipokee kabisa.