Wanawake wabaya

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Hivi kwa nini wanawake au wasichana wabaya huwa wanaringa kuliko wanawake au wasichana wazuri?
 
Kwasababu kwa mtazamo wao na wa wengine pia (uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji) nao ni wazuri, kama ambavyo hao wazuri kwako nao ni wabaya kwa mtazamo wa watu wengine.

Unavyowashangaa hao 'wabaya' kwa mtazamo wako, ndivyo wengine wanavyowashangaa hao 'wazuri' kwa mtazamo wako.
 
Wanaringa kwenye masuala ya mahusiano yaani mapozi kibao unampigia simu anajishauri kupokea au asipokee kabisa.
 
nadhani wanaringa kwaajili ya ubaya wao km ulivyosema.
Ila si wote wabaya acc to you wanaringa, kuna wengine kuringa ni asili yao tu ht umfanyaje hawezi acha kuringa.
 
Hahaaa, Mkuu yawezekana huyo unayemuona mbaya kuna mwingine anataka ata kujiua kwa ajili yake. vinginevyo hiyo ni tabia ya mtu binafsi.
 
Nae anakuona we mbaya vilevle ndo mana anakuekea pozzzz

...Jifunze kubembeleza mkaka acha jazba na kashfa meeen!!!!!

Na kuanza kumwona mwnzio mbaya baada ya kutopokea simu yako ni dalili tosha za sizitaki mbichi....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Daah hapo kidogo naanza kupata kamwanga maana sie wengine sijui tumeumbwaje maana lugha laini za kubembeleza akina dada wala hatuna, kama hataki akwambie sitaki tu uangalie upande mwingine.
 
Daah hapo kidogo naanza
kupata kamwanga maana sie wengine sijui tumeumbwaje maana lugha laini za
kubembeleza akina dada wala hatuna, kama hataki akwambie sitaki tu
uangalie upande mwingine.

anaweza kua mbaya kwa mwonekano lakini mzuri kunako 6/6 ndo maana analinga
 
uzuri wa mtu upo machoni pa m2.huenda we ukaona wa kazi gani kwa kumuona mbaya mwanaume mwenzio anasali kila siku atampata lini.
na sidhani kama kwa ubaya wake ungehangaika hivyo.nadhani kauli yako ni ya kukataa tamaa kaka
 
kweli banah wengine wabaya, wanasura kama wanapuliza moto lakini ukimsalimia hakujibu salam, anajiona cake kumbe andazi!
 
Wanaringa kwenye masuala ya mahusiano yaani mapozi kibao unampigia simu anajishauri kupokea au asipokee kabisa.

hao ni wakupiga chini tu mkuu mbona mademu wengi tu wamezagaa ,akilinga unampotezea unachukua mwingine .
 
wabaya wapo banah!! ndio maana kuna mashindano ya urembo!! kusema hakuna m-baya, nikujifariji tu!! uko sahihi OSABA!!
 
dat true 100% mbona mademu wengi tu kuliko wanaume kaka?! yanini kumuabudu mmoja?! akichomoa huyu unachomeka kwa yule!!
 
Hivi kwa nini wanawake au wasichana wabaya huwa wanaringa kuliko wanawake au wasichana wazuri?

Hao wabaya ndo wanakuaje tuelezane.
Ila mbaya kwako ni almasi kwa wengine.
 
hakuna lolote m-baya m-baya tu!! acheni kujipa moyo!! tungejuaje kama kuna wazuri wasingekuwepo wabaya?! he! he! heeee!!
 
Hao wabaya ndo wanakuaje tuelezane.
Ila mbaya kwako ni almasi kwa wengine.

Wabaya nina maana kwa sura na umbo yaani muonekano kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…