Wanawake wa tabia hii siwapendi

Mkuu hata wao wanatumia tena kwa asilimia kubwa tyuuu tena sana.
Wanaopinda mgongo wazungu ni wachache sana mkuu.
Hizo mop wanazitumia kwa sanaa kupinda mgongo asilimia kubwa ya wazungu hawawez
 
namaanisha naumwa uti wa mgongo?
kama uti wa mgongo basi hamna style yoyote kati ya hizo inayokufaa mgonjwa wewe,Tulia upone usafi waachie watu wazima afya zao.
 
Raha ya nyumba uiname udeki na dekio zito
Mopper Mara nyingi hazifuti maji vzr na pia zinachora ramani


Mm nadhani Ni Aina ya Maisha aliyokulia mtu..waliozaliwa uzunguni kwao Ni kawaida kutumia hizo

Wenzangu namm tuliozaliwa vijijini tunapambana na madekio ..nikitoka hapo tiles inawaka kama kioo
 
Back
Top Bottom