Kama hakukumbuki we kila siku mtafute tu si unampenda. . . . .maadam ana haraka kila siku nawe akija usiweke kambi mnunulie kinywaji akimaliza tu aga mwambie u just wanted to see her. . . . . .Kwenye simu we salimia tu baaaas kama mzima shukuru mtakie siku njema. . . . . . .
Kaa kwa siku kadhaa mnunulie set ya shower gel, splash na spray kama una gari tembea nazo tu siku ukimwita "kumsalimia" usishuke kwenye gari mkaribishe akae kiti cha abiria mwambie ulipenda kumuona kama kapendeza msifie kama hajapendeza usimdanganye. . . . mpe gift yake agana naye. . . . .
Punguza mawasiliano kama anakupenda kweli she will come for you ukiona kimya achana naye atakuumiza tu kichwa . . . . . .Bait for a better fish