Fabrications nyingi humu ndani ambazo haina maana kuingia malumbano na kupoteza muda. Lakini examples zinaweza kufungua akili ya mwenye kufahamu.
Mfano hebu tutafakari vijisheria hivi hapa:
1. Anaporudi nyumbani mume toka nje basi apendelee tabia ya kupoa kidogo barazani kabla ya kuingia ndani na moja kwa moja kuwakumbatia na kuwabusu watoto. Mafumbo yake ni kwamba watoto, sio kama watu wazima, miili yao ni myepesi kuhimili wanaomfuata fuata mtu mzima majiani kuelekea nyumbani. Nini maana yake?
2. Ni lazima apige hodi mtu kabla hajaingia nyumbani kwake mwenyewe anaporudi toka safari au shughuli zake. Nini wisdom yake na wakate mule ni nyumbae kwake mwenyewe?
3. Amtaarifu mkewe mtu kabla ya kufika nyumbani anaporudi safari ya mbali japo ikiwezekana afikie msikitini kwanza kwa sala (fardhi au sunna) au kuvuta uradi. Ikiwezekana hata taxi driver afikishe mizigo nyumbani kwanza kuashiria ujio. Kwanini?
4. Kuweka ndevu mwanamme kwa waliojaaliwa kuota ndevu na ku-trim masharubu. Nini maana yake?
nk, nk, nk, nk.
Je haya ni mapya katika uislamu??? Waislamu wakiwa wazembe kiutekelezaji waislamu wenzao kuwaamsha kidogo, hakuna ubaya.
Hebu tutafautishe baina ya biashara ya mali kwa mali mabayo AlShabab wanaruhusu na biashara ya ukahaba ambayo AlShabab wanaikataza na hao ma-Sailor. Isitoshe ma-Sailor wanajulikana kwa tabia hii ya umalaya. Let us be real, eti wana mali gani wanawake wa Somalia hata kuweza ku-afford ku-exchange na ma-sailors?? Huu sio uongo huu