kila jambo na wakati wake... "hatukandi mbwa makalio "
mtazeekea kwa baba zenu nani awaoe wanawake wabishi hatari ...uvumilivu hamna..yaani unanikuta napiga goli moja tu house girl unanuna? mxxxx
Hizi ni enzi za uchoyo na UBINAFSI !! OLD is GOLDie !!
mtazeekea kwa baba zenu nani awaoe wanawake wabishi hatari ...uvumilivu hamna..yaani unanikuta napiga goli moja tu house girl unanuna? mxxxx
Ngoja nioe mke wa pili na mimi
mtasota sana, hadi mtakapomfufua bibi.
Hiyo SMS ilikuwa inasemaje labda? Kuna text nyingine Ni heart attack Kabisa