Wanawake wa siku hizi mkoje?

Hivi huwa hamchoki kulia lia kila siku? Mwanamke akishakuwa na aibu halafu nini kitokee?
 
Hahahaha.....huyo mdada ni wa kumuoa tu usimpoteze
 
Aisee mi napenda sana mwanamke wangu asiwe na aibu hata tone, yani ajiachie ya ela yote. Hakuna kuzuga wala kuvunga kitu, hapo ndio saafi.
Wewe kama mimi mkuu mimi demu mwenye aibu sitaki kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…