Mghoshingwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 305
- 73
dah, mapenzi ni malaria kali, inaweza kukutoa roho any time. pole kwa Kuumizwa kaka. take more time to think before estabilishment of a new relationship.
Ikisha kuwa "a" inakuwa ni "woman" na si "women", women ni plural ya woman. na hapo mwanzo ni "don't, ni "slang" ya "do not".
Mkuu huyu jamaa amenishangaza sana. Eti mtu unamfuma mara 1,2,3,4, hadi 5 upo tu...hiyo ni akili au vumbi. Wewe labda si mwanaume maana umetudhalilisha sana wanaume wote. Mimi wife namwambia, wewe kama kuna ujinga ujinga wako unafanya hakikisha sikukamati maana nikikumata tu ni red card straight hakuna discussion. Na kuthibitisha hilo nishatosa wasichana kama watatu hivi kwa kesi kama ya kwako.au na ww ni mwanamke???hilo kosa analolifanya halina mara mbili,atakapofanya anatakiwa kuachwa..full stop...ww ndiye mwenye matatizo