Wanawake wa siku hizi hawaaminiki - cheki hii stori

dah, mapenzi ni malaria kali, inaweza kukutoa roho any time. pole kwa Kuumizwa kaka. take more time to think before estabilishment of a new relationship.
 
Usiamini mtu yoyote hata kivuli chako! In your case huyo mpenzi wako sio size yako..
 
Tehe tehe, hongera brother, gf ni muaminifu sana. Usimuache. Hahaaa
 
Dah!kwel una mapnz ya dhat kaka.kimbia haraka njoo kwng..nikupe mapnz ya kweli boy..sorry am kidding!!.!
 
Na wewe kweli ni mwanaume *****!!!! yani mara tano!, we upo tu unaendelea kusamehe!! Mi mara moja tu angekuwa ameshafutwa kwenye hard-drive yangu kichwani!!.
 
na wewe naye!!!mara zote hizo una samehe tu!!na ashakwambia kuwa upweke unamsumbua,huyo hafai piga chini na usiangalie nyuma!
 
Mkuu kwa kuwa umebainisha ni mpenzi,binafsi nakushauri uachane nae kiroho safi,mkuu dunia ina magonjwa hii sio Ukimwi tu bali pia kuna homa ya ini ambayo inaambukizwa kama Ukimwi na unaua pia
 
Achana na general cunclusions,cha mssing huyo hakufai,OMG mara tano?sh must be a hell of a lucky gal
 
au na ww ni mwanamke???hilo kosa analolifanya halina mara mbili,atakapofanya anatakiwa kuachwa..full stop...ww ndiye mwenye matatizo
Mkuu huyu jamaa amenishangaza sana. Eti mtu unamfuma mara 1,2,3,4, hadi 5 upo tu...hiyo ni akili au vumbi. Wewe labda si mwanaume maana umetudhalilisha sana wanaume wote. Mimi wife namwambia, wewe kama kuna ujinga ujinga wako unafanya hakikisha sikukamati maana nikikumata tu ni red card straight hakuna discussion. Na kuthibitisha hilo nishatosa wasichana kama watatu hivi kwa kesi kama ya kwako.

Mara tano khaaaaaaaa.
 
Hapo iko wazi kwamba yeye ana mapenzi ya kweli na huyo jamaa yake

Ila Ongea na Moyo wako na uongee nae mfikie muafaka na muamue kusimamia maamuzi yenu

Mke Mwema utapata kwa Bwana
 
Sio bure hapo, huyo mwanamke lazima atakwa 'amekaza nati' hapo aisee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom