Wanawake wa siku hizi hawaaminiki - cheki hii stori

Sasa umemfumania mara 5 na bado unaendelea nae kwa nini au anakupa tiGo?
 
mimi nna mpenzi wangu kwa miaka saba sasa,mimi nipo dar yeye alienda kusini kusoma,kiukweli natoa huduma zote vizuri ata yeye shahidi,siku nikaenda kumtembelea nkamfuma kwenye cmu anajamaa huko ata watu wakaniambia pia maana majirani tunafahamiana,kesi ikaenda nkamsamehe,mwaka jana nkamfuma tena na mtu uyo uyo yaan namsamehe zaidi ya mara tano namfuma namsamehe kwa mtu huyo huyo,sasa jamani mtu wa namna hiyo eti kisingizio chake hajawahi kukaa maisha ya alone thus Y anapata vishawishi eti jamani io ni sababu ya msingi kweli??mara ooh nashindwa kuelewa jamaa simpendi ila akinipigia simu najikuta napokea eti kama jamaa kamfanyia kitu anakubali tu bila kuelewa huu si uongo kbs
Sasa nimekuja kuamini usemi unaosema dont trust a women..


"trust everybody, BUT dont trust trust the devil inside them".... usiwahukumu wanawake wote kwa makosa anayofanya huyo wa kwako.... jifunze kusoma alama za nyakati.... mapenzi ni asili lakini kuna vitu vingi tunapaswa kujifunza kabla na tunapoingia katika dimbwi hilo... "LOVE COMES TO THOSE WHO BELIEVES"
 
unapoteza muda wako mkuu, hawa watoto wa chuo noma..utaumiza kichwa bure
 
Pole kaka huyo achana naye, kuwa jasiri anakudanganya ana uhusiano wa ndani na huyo jamaa.
 
Dah! Pole sana ndugu yangu kwa yaliyo kusibu..Ila dunia hii kwa kweli si wanawake wala wanaume asilimia kubwa wamekosa uaminifu! Kwa kweli kwa hayo maelezo uliyo yatoa hapo juu huyo dada hakufai kabisa..Unaweza ukamvumilia kwa kipindi hiki lakini huyo dada baadae atakuja kukuletea maumivu ya moyo na maradhi juu mpaka uchanganyikiwe.. Muache aende zake hakufai hata kidogo!
 
Back
Top Bottom