Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,579 Reaction score 55,632 Sep 26, 2018 #61 manengelo said: nyie endeleen kula beef burger na viepe😎 Click to expand... Sawa mamii nyie endeleeni kula ugali wa mtama na muhogo na bamia
manengelo said: nyie endeleen kula beef burger na viepe😎 Click to expand... Sawa mamii nyie endeleeni kula ugali wa mtama na muhogo na bamia
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #62 jakitoo said: Sawa mamii nyie endeleeni kula ugali wa mtama na muhogo na bamia Click to expand... 😛😛😛😛
jakitoo said: Sawa mamii nyie endeleeni kula ugali wa mtama na muhogo na bamia Click to expand... 😛😛😛😛
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,792 Sep 26, 2018 #63 Ila wanawake wa Dar punguze kupenda Chips kuku, pendeleeni kula hata ndizi na samaki, au nyama,
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,394 Reaction score 88,828 Sep 26, 2018 #64 wanawake wa kisukuma mko vizuri
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 29,156 Reaction score 51,843 Sep 26, 2018 #65 Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Wanawake wa mikoani wanawake kazi. Kula vitu heavy kwa shughuli za uhakika. Lakin sio kama unawasema wadada wa dar.. wazee wa mishkaki na zege?
Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Wanawake wa mikoani wanawake kazi. Kula vitu heavy kwa shughuli za uhakika. Lakin sio kama unawasema wadada wa dar.. wazee wa mishkaki na zege?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Sep 26, 2018 #66 mnakula mavyakula magumu.ndo maana mkashindwa kujiokoa kwenye Mv nyerere. Mtu mmoja anakula ugali kilo 2.utaweza wapi kuogelea.
mnakula mavyakula magumu.ndo maana mkashindwa kujiokoa kwenye Mv nyerere. Mtu mmoja anakula ugali kilo 2.utaweza wapi kuogelea.
kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,819 Sep 27, 2018 #67 Sifa za kijinga.. wanawake wenzenu wamefanya mapinduzi makubwa kwenye sayansi na uchumi nyinyi huku mnaona ufahari kula ugali na nyanya chungu
Sifa za kijinga.. wanawake wenzenu wamefanya mapinduzi makubwa kwenye sayansi na uchumi nyinyi huku mnaona ufahari kula ugali na nyanya chungu
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,706 Sep 27, 2018 #68 Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Sikuhizi umehamia mkoani mama..!
Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Sikuhizi umehamia mkoani mama..!
Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,371 Reaction score 2,715 Sep 28, 2018 #69 Hapo mbona kama kisuma bar mwembe yanga Mama Sabrina
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #70 Mung Chris said: Hizo kabeji hazijazi upepo tumboni, na mnavyokuwaga na aibu kuachia drum 😀😀😀 Click to expand... Mi napenda mboga za majani aisee
Mung Chris said: Hizo kabeji hazijazi upepo tumboni, na mnavyokuwaga na aibu kuachia drum 😀😀😀 Click to expand... Mi napenda mboga za majani aisee
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #71 kapalamsenga said: Ila wanawake wa Dar punguze kupenda Chips kuku, pendeleeni kula hata ndizi na samaki, au nyama, Click to expand...
kapalamsenga said: Ila wanawake wa Dar punguze kupenda Chips kuku, pendeleeni kula hata ndizi na samaki, au nyama, Click to expand...
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #72 Nguvu moja said: Hapo mbona kama kisuma bar mwembe yanga Mama Sabrina Click to expand... Hapo ni halmashauri ya jiji
Nguvu moja said: Hapo mbona kama kisuma bar mwembe yanga Mama Sabrina Click to expand... Hapo ni halmashauri ya jiji
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #73 bigmind said: Sikuhizi umehamia mkoani mama..! Click to expand... Mi sio wa dar toka zamani
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #74 mjingamimi said: mnakula mavyakula magumu.ndo maana mkashindwa kujiokoa kwenye Mv nyerere. Mtu mmoja anakula ugali kilo 2.utaweza wapi kuogelea. Click to expand...
mjingamimi said: mnakula mavyakula magumu.ndo maana mkashindwa kujiokoa kwenye Mv nyerere. Mtu mmoja anakula ugali kilo 2.utaweza wapi kuogelea. Click to expand...
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,700 Reaction score 14,768 Sep 28, 2018 #75 Mama Sabrina said: Chizi wewe Click to expand... Mgiftishe mwenzio yanini kumnyima kitu ulichopewa bure
Mama Sabrina said: Chizi wewe Click to expand... Mgiftishe mwenzio yanini kumnyima kitu ulichopewa bure
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #76 Mzigua90 said: wanawake wa kisukuma mko vizuri Click to expand...
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #77 Neema Muro said: Mgiftishe mwenzio yanini kumnyima kitu ulichopewa bure Click to expand... Nisaidie
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,700 Reaction score 14,768 Sep 28, 2018 #78 Mama Sabrina said: Nisaidie Click to expand... Mimi nina dushe....
Jason Statham2 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 696 Reaction score 1,018 Sep 28, 2018 #79 Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Kuna ukweli fulani si kwa stamina hii. big up wa mikoani. Tatizo bado ni kuvaa na mwendo maana munavyotembea chaaa
Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Kuna ukweli fulani si kwa stamina hii. big up wa mikoani. Tatizo bado ni kuvaa na mwendo maana munavyotembea chaaa
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,597 Sep 28, 2018 Thread starter #80 Jason Statham2 said: Kuna ukweli fulani si kwa stamina hii. big up wa mikoani. Tatizo bado ni kuvaa na mwendo maana munavyotembea chaaa Click to expand... Hahahaha tunatembeaje
Jason Statham2 said: Kuna ukweli fulani si kwa stamina hii. big up wa mikoani. Tatizo bado ni kuvaa na mwendo maana munavyotembea chaaa Click to expand... Hahahaha tunatembeaje