Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #41 Mama Sabrina said: Mi nishachoka vyakula vya mchuzi mchuzi Click to expand... tupo wengi
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #42 Mung Chris said: Kumbe na wewe ni wa kanda ya ziwa mpenzi wa sato Click to expand... mle mle!dec ifike tu...unagonga zako savvanah za kutosha weee unatafuna boonge ya sato..ukimaliza hapo ni kubang!
Mung Chris said: Kumbe na wewe ni wa kanda ya ziwa mpenzi wa sato Click to expand... mle mle!dec ifike tu...unagonga zako savvanah za kutosha weee unatafuna boonge ya sato..ukimaliza hapo ni kubang!
Gentlewoman Senior Member Joined Aug 13, 2018 Posts 192 Reaction score 393 Sep 26, 2018 #43 Mung Chris said: Hujakosea π Click to expand... Umeona ee tuanze maandalizi mapemaaa,dalili ya mvua mawingu.
Mung Chris said: Hujakosea π Click to expand... Umeona ee tuanze maandalizi mapemaaa,dalili ya mvua mawingu.
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #44 Gentlewoman said: Umeona ee tuanze maandalizi mapemaaa,dalili ya mvua mawingu. Click to expand... kuna makabila bila mchuzi hawakuelewi....namba 1 Iringa!mm michuzi big NO kwakwel
Gentlewoman said: Umeona ee tuanze maandalizi mapemaaa,dalili ya mvua mawingu. Click to expand... kuna makabila bila mchuzi hawakuelewi....namba 1 Iringa!mm michuzi big NO kwakwel
Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,439 Reaction score 3,954 Sep 26, 2018 #45 Kumbe ulipendekeza huko ukijua wapo sato wanachomwa vizuri ahhh nimeanza kuelewa kwann mlipendekeza huko na utazila kweli manengelo said: mle mle!dec ifike tu...unagonga zako savvanah za kutosha weee unatafuna boonge ya sato..ukimaliza hapo ni kubang! Click to expand...
Kumbe ulipendekeza huko ukijua wapo sato wanachomwa vizuri ahhh nimeanza kuelewa kwann mlipendekeza huko na utazila kweli manengelo said: mle mle!dec ifike tu...unagonga zako savvanah za kutosha weee unatafuna boonge ya sato..ukimaliza hapo ni kubang! Click to expand...
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,579 Reaction score 55,632 Sep 26, 2018 #46 Wanawake wa dar komenti zetu zinakaa humu??
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #47 Mung Chris said: Kumbe ulipendekeza huko ukijua wapo sato wanachomwa vizuri ahhh nimeanza kuelewa kwann mlipendekeza huko na utazila kweli Click to expand... sato baba
Mung Chris said: Kumbe ulipendekeza huko ukijua wapo sato wanachomwa vizuri ahhh nimeanza kuelewa kwann mlipendekeza huko na utazila kweli Click to expand... sato baba
leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,408 Reaction score 1,821 Sep 26, 2018 #48 Mkoa gani huo ndani Kuna Meza ya baa
Eliphaz the Temanite JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 3,018 Reaction score 1,152 Sep 26, 2018 #49 Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Na mnaliwaje??
Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand... Na mnaliwaje??
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #50 jakitoo said: Wanawake wa dar komenti zetu zinakaa humu?? Click to expand... sidhani
LaplaceTransformation JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 776 Reaction score 679 Sep 26, 2018 #51 Baada ya hapo, ukikutana na mtaalamu Wa KT in kuteleza tu. Hongereni wamama wa mikoani! Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand...
Baada ya hapo, ukikutana na mtaalamu Wa KT in kuteleza tu. Hongereni wamama wa mikoani! Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand...
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,579 Reaction score 55,632 Sep 26, 2018 #52 manengelo said: sidhani Click to expand... Oooohhh
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,461 Reaction score 67,445 Sep 26, 2018 #53 jakitoo said: Wanawake wa dar komenti zetu zinakaa humu?? Click to expand... Wewe? Dar? Lini?
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,792 Sep 26, 2018 #54 Unakula kitoto cha samaki amefikisha nchi 21 huyo? Nakushauri pendelea kula samaki fresh acha kutumia kukaanga Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand...
Unakula kitoto cha samaki amefikisha nchi 21 huyo? Nakushauri pendelea kula samaki fresh acha kutumia kukaanga Mama Sabrina said: Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721 Click to expand...
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #55 jakitoo said: Oooohhh Click to expand... nyie endeleen kula beef burger na viepeπ
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,695 Sep 26, 2018 #56 Fanyeni yote ila wanawake punguzeni vitambi na kuendekeza sana kula kula kama viwavi...kula nako ni starehe,sio mwanamke unakula kama ni adhabu,khaa!
Fanyeni yote ila wanawake punguzeni vitambi na kuendekeza sana kula kula kama viwavi...kula nako ni starehe,sio mwanamke unakula kama ni adhabu,khaa!
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,579 Reaction score 55,632 Sep 26, 2018 #57 ledada said: Wewe? Dar? Lini? View attachment 878769 Click to expand... Kunijua nayoo
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,195 Sep 26, 2018 #58 Naona mechi kwa mbali ya wanawake wa mkoani vs wanawake wa dar.πππ Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Naona mechi kwa mbali ya wanawake wa mkoani vs wanawake wa dar.πππ Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Sep 26, 2018 #59 LUBEDE said: Fanyeni yote ila wanawake punguzeni vitambi na kuendekeza sana kula kula kama viwavi...kula nako ni starehe,sio mwanamke unakula kama ni adhabu,khaa! Click to expand... mm hapo nimefel jaman
LUBEDE said: Fanyeni yote ila wanawake punguzeni vitambi na kuendekeza sana kula kula kama viwavi...kula nako ni starehe,sio mwanamke unakula kama ni adhabu,khaa! Click to expand... mm hapo nimefel jaman
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,461 Reaction score 67,445 Sep 26, 2018 #60 jakitoo said: Kunijua nayooView attachment 878773 Click to expand... Ewwww! Imeweza eenh?