Wanawake wa makanisa ya kilokole

We una akili kweli, mtu ataulizaje kitu anakifahamu Juma Lokole ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana tatizo mbona tena ni wake wazuri tu wakuoa.
 
Habarini wadau,

Wale wanaume ambao ni waumini wa Katoliki au Lutheran ambao waliwahi kupata wachumba kutoka haya makanisa ya kilokole,ni changamoto gani mlipata kutoka kwa hawa wapendwa?

Angalizo: Kutotoa Tunda kabla ya Ndoa sio changamoto.
Mbuzi kwenye gunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…