Wanawake wa leo mmelainika mno.

..wanaume wanaozama chumvini wamepatwa na tatizo la KUHARISHAAAAAAAAAAA
 
Heheheehehe mecheka na hii dizaini ya majina bulaza
 
Yaani unaweza kuwa unamtania mtu wala huna mpango nae yeye anakubali hapo hapo tena anaanza kukusumbua na tafadhali nipigie na kubipu kusikokwisha au wanaume tumekua wachache sasa siku hiyo hiyo unakubali.
tehee teheee.....wengi wanakuwa wanangojea chance kama hiyo...alafu wewe unajipitisha pitisha na utani wako wa ajabu....
 
Hapo ni 50/50 maana wanakuwa cheap kwa akina nani si kwa wanaume cheap pia kama wanawake ni walain basi hata wanaume pia maana migegedo ni pande zote
 
...wanawake ni chombo cha starehe
kama vyombo vingine vya starehe...kwa hiyo mtafute..ukiwa unataka kustarehe..ukishamaliza starehe zako..achana nae...
 
Yaani unaweza kuwa unamtania mtu wala huna mpango nae yeye anakubali hapo hapo tena anaanza kukusumbua na tafadhali nipigie na kubipu kusikokwisha au wanaume tumekua wacha
che sasa siku hiyo hiyo unakubali.

Kwa nini utanie, mambo yanabadikika siku hizi wewe bado unafikiri wanawake hawabadiliki siju hizi kila kitu ni instant. So usiwe unatania tania. Wanawake wamebadilika sana si kama wale wa zamani . So jaribu kwenda na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…