Wanawake wa leo mmelainika mno.

kwanini unamtania?anabip na kutuma tafadhali nipigie tehe tehe tehe tehe tehe yuko kidato gani?
 
Ndo nayoyasema haya maana inawezekana alikuwa anatania.
Atajuta kunitania hapa ni usumbufu kwa kwenda mbele
hadi dakika hii nshatuma pm 6, leo ninae
ahsante kwa hii thread imenipa munkari....
 
Pia sisi wanaume t umekuwa rahisi unakutana nae siku hiyo unataka kiss mara umempindua unataka kunyonya mewata mara mkono baharini...hajaongea chochote ushatoa tei tei. Tulivyo vijogoo sikuizi within two mins mchezo umeisha....baada ya dakika ishirini tunakimbilia MMU wanawake wasaivi they are cheap are we expensive??
 
what if she is into you and couldn't say t before.???
 
Mkuu una umri gani usije kua unawaharibu watoto wetu.Alafu ao wanao beep sio wanawake ni wasichana wakikua wataacha.
 
Kikawaida ukifanya utani ndo unaeleweka... hebu kuwa siriaz uone utakavyosumbuliwa

Kuna ukweli kwa 300%.
Hii kitu inachanganya sana. Ukisema uwe siriaz kidogo utajuta kujaribu!!!!
 
Mtongozo wako nausubiria kwa hamu pia nimeshaandaa shampeni,zanzi na amarula
List niliyo nayo ni ndefu ngoja zamu yako itawadia ....halafu mimi nitakuja huko huko
NB:Marufuku kuniganda ingawa utachanganyikiwa
 
Na kwa nini umtanie hivyo? Watu wana ukame, anahisi ashajiopolea hapo hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…