Wanawake wa leo mmelainika mno.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Yaani unaweza kuwa unamtania mtu wala huna mpango nae yeye anakubali hapo hapo tena anaanza kukusumbua na tafadhali nipigie na kubipu kusikokwisha au wanaume tumekua wachache sasa siku hiyo hiyo unakubali.
 
Wanaume wenye hela ndio wachache mkuu
 
Tuwe wagumu ili iwe nini....
psi bora tafadhali nipigie wenzio hapo hapo wanaambiwa " baby nna shida"
 
Last edited by a moderator:
Yaani unaweza kuwa unamtania mtu wala huna mpango nae yeye anakubali hapo hapo tena anaanza kukusumbua na tafadhali nipigie na kubipu kusikokwisha au wanaume tumekua wachache sasa siku hiyo hiyo unakubali.

mkubwa umekutana na garasha, mwanamke wa kukutumia tafadhali nipigie ni wa kutupa kulee.
 
Mwekundu uliahidi kunitongoza hadi leo upo kimya na siku zinaenda tu
au ulikuwa unanitania?sikuelewi....

List niliyo nayo ni ndefu ngoja zamu yako itawadia ....halafu mimi nitakuja huko huko
NB:Marufuku kuniganda ingawa utachanganyikiwa
 
Kikawaida ukifanya utani ndo unaeleweka... hebu kuwa siriaz uone utakavyosumbuliwa
 
Usumbufu mwingine mnajitakia tu
kama hapa mi niliahidiwa tongozo, kakaa kimya unadhani kifuatacho ni nini kama sio kumsumbua?

Ndo nayoyasema haya maana inawezekana alikuwa anatania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…