Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
Nilikuwa na pasha pasha na hawa wa watoto wa moshi...
Kweli notification tabu toka juzi.
vip kabila lako? nahis unawaswas pia na kabila lako kwa maana hiyo hata wewe hufai kuoa maana ikiwa kabila lako halifaiWana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?
hata kwako mkuu huoni notifications on time?
wanawake wa kuoa wapo wachache sana ila wasichana wa kuoa wapo wengi sana na kila leo wanafuzu na kua tayari kwa ndoa,wanatoka kabila la Watanzania.
We mwenyewe uko tayari kuoa?coz kuna aina tatu za wanaime
-wanaume ambao wamezaliwa na kujikuta wao ni wanaume tu coz wana maumbile ya kiume but hawajitambui!
-wanaume ambao wamezaliwa na wanajitambua kuwa ni vidume but still ni watoto wa mama, means wanashikiwa akili zao na mama,Dada hata kuoa wanachaguliwa wa kuoa!
-wanaume ambao wanajitambua na wanajua majukumu yao kama mwanaume,na full kujisimamia na kuongoza familia na kujiamini.
Jiulize uko group gani before hujaamua kitu, coz mwanaume unaejiamini usingepost wazo kama hili.
Njoo umasaini,,kwenye visura wa ukwel wasiohtaj gharama za kusuka nywele...ni vpara kwa kwenda mbele, and they stl lukn nice!.
Hutoka ATMna mume mwema anatoka kwa nani?
We mwenyewe uko tayari kuoa?coz kuna aina tatu za wanaime
-wanaume ambao wamezaliwa na kujikuta wao ni wanaume tu coz wana maumbile ya kiume but hawajitambui!
-wanaume ambao wamezaliwa na wanajitambua kuwa ni vidume but still ni watoto wa mama, means wanashikiwa akili zao na mama,Dada hata kuoa wanachaguliwa wa kuoa!
-wanaume ambao wanajitambua na wanajua majukumu yao kama mwanaume,na full kujisimamia na kuongoza familia na kujiamini.
Jiulize uko group gani before hujaamua kitu, coz mwanaume unaejiamini usingepost wazo kama hili.
na mume mwema anatoka kwa nani?
mwanamke mzuri anatoka kwa wasukuma na wahehe.sasa we jichanganye uwende uchagani!huko thamani ya mtu iko ktk mali.sina hamu nao